Hey wadau msaada!
Nili update software ya Nokia x2-02 to v 11.62 then baada ya hapo nikipigiwa simu inakuja namba hata kama namba nimesha save mpaka uanze na 255 what to do.?
Hey wadau msaada!
Nili update software ya Nokia x2-02 to v 11.62 then baada ya hapo nikipigiwa simu inakuja namba hata kama namba nimesha save mpaka uanze na 255 what to do.?
possible cause zinaweza kua hizi.
1.contact zimejiduplicate yani kila contact iko mara mbili jaribu kuangalia unaweza kuta kwenye simu zipo na line zipo. Add contact mpya mwambie akupigie uone.
2. Inawezekana hio firmware labda ndo ipo hivo so izowee na jaribu kuchange no zote zianze na 255
Back up simu yako halafu reset hiyo simu factory default
itafuta kula kitu kwenye simu
Baada ya hapo restore back data and contacts toka kwenye backup
It is recommend to reset to factory settings after updating any device firmware
chief-mkwawa hata browser yake now hairespond au ndo mpaka nikaiflash...????
baada ya kufanya hard reset ita respond vp??? au itawaka kawaida???
Follow Us Here