Wadau vipi naweza kusikiliza fm radio ktk BB curve 8520?
Na inawezekana kusikiliza bila internet?
Natanguliza shukrani
Wadau vipi naweza kusikiliza fm radio ktk BB curve 8520?
Na inawezekana kusikiliza bila internet?
Natanguliza shukrani
Labda jaribu kutafuta application ya radio u download uweke kwenye BB yako!
Dah hebu ngoja na mimi niwasubili wajuvi wa mambo, maana hata mimi nakeleka tunanunuwa hizi BB kwa gharama kubwa lakini zinakosa service ndogo kabisa kama redio.
Division four point 29 = Masters Mzumbe University. Nape Nnauye is my role model.
Una uwezo wa kusikiliza Radio online kwenye BB yako lakini tambua kuwa gharama hazito-involve subscription ya Blackberry Internet Service ambayo umeifanya. Huwezi kusikiliza Radio online kama huna intaneti.
Siyo lazima uchangie kama hauna wazo mbadala, hapa tunaelimishana huenda kuna software za kudownload ukapata redio kama watu wanavyoweka Tv card kwenye Computer na hakuna anayesema Tv ni Tv na Computer ni Computer. kama unaona uko sahii ni kwa nini simu ziwe na Media player? mbona husemi kwamba watu wanunuwe ipod? acha utoto.
Division four point 29 = Masters Mzumbe University. Nape Nnauye is my role model.
Tujifunze kununua vitu kutokana na matumizi yake. Ulipokuwa unanunua Blackberry hukulijua hilo?. Any way Download Nobex Radio - Download itawafaa. Good day.
Download TuneIn Radio hii itakupatia zaidi ya radio 100 zikiwemo radio zaidi ya 5 za Tanzania.Mimi nnasikiliza Clouds FM kwa kutumia hii popote nilipo hapa Duniani
Download TuneIn Radio hii itakupatia zaidi ya radio 100 zikiwemo radio zaidi ya 5 za Tanzania.Mimi nnasikiliza Clouds FM kwa kutumia hii popote nilipo hapa Duniani
Follow Us Here