Support JamiiForums and Become a 'JF Premium Member' | Click HERE for Details
    Show/Hide This

    Topic: Jipatie Custom Animated Avatar Yako HAPA!! (tutorial 1)

    Report Post
    Page 1 of 2 12 LastLast
    Results 1 to 20 of 30
    1. leh
      #1
      leh's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 30th May 2012
      Location : Mlimani, Dar
      Posts : 682
      Rep Power : 773
      Likes Received
      260
      Likes Given
      12

      Default Jipatie Custom Animated Avatar Yako HAPA!! (tutorial 1)

      nimeona watu wengi wanaulizia kuhusu kuwa na animated avatar. while unaweza pata animations nyingi kwa kutumia google, hamna kitu kinafurahisha kama kuwa na custom avatar yako, yaani with ur own message/image. hivyo basi nimeonelea nitoe maelezo jinsi ya kutengeneza gifs kwasababu ni kitu simple kutengeneza kwa kutumia photoshop. kwa practice kidogo, unaweza tengeneza kitu kinachopendeza mno. hivyo bac, tuanze

      picha huja in all sorts and sizes, na kwa hapa JF ukitaka animated gif, lazima uweke ambayo ina size ya 75*75 pixels. ikizidi hiyo size, haitakuwa animated hata kama both ni gifs. mfano

      hii hapa itacheza kama avatar (size 75*75)

      hii hapa haitacheza kama avatar (size 400*320)

      *kwa tutorial zangu zote nitatoa kwa kutumia photoshop CS3 (ninatumia CS3 kwa laptop na CS5 kwa desktop) as the structure is the same kwa CS zote*

      1.unavyofungua photoshop yako, new file weka size ya 75*75 pixels kama image yangu hapo (in the more advanced lessons, tutacompress size baada ya kazi yote)

      2kwa tutorial la leo natumia neno langu leh na kwa hivyo nita duplicate layer mara mbili (kila herufi na layer yake) kama utatumia jina tofauti ongeza au punguza layers zako ipasavyo

      natumia font iitwayo xenippa <--link size 66, jiskie huru kutumia nyingine

      2. anza kwa kuficha layer visibilty za layers zote then fichua ya kwanza. chagua text tool na uandike herufi yako (in my case L) tunaficha layers ili uweze kufanyia kazi layer moja moja bila usumbufu wa zingine kuficha kazi

      3. repeat and rinse step 2 mpaka uwe umeandika herufi zote

      4. baada ya hapo kwenye photoshop menu yako chagua window>animation

      5. utapata kitu kama hichi

      6. kwa kutumia hiyo menu nilipoint hapo juu, chagua 'make frames from layers'. result zako ziwe kama hivi

      7. rudi tena kwa menu ya animations uchague 'reverse frames' ili upate something like mine

      8. badilisha time ya frame zote from 0 seconds to 0.2 seconds (unaweza weka different time rates kwa upendeleo wako on how fast or slow u want it) by clicking on the arrow showing time. bonyeza button ya play uone gif yako in action

      9. nenda kwa psd menu chagua 'Save for Web & Devices' au ubonyeze alt+ctrl+shift+s. tayari gif yako

      10. upload on JF Forums na ufurahie

      (P.S gifs hazichezi na image viewer ya windows 7 au picassa au most picture viewing programs so usihofu isipocheza on ur PC)

      Kesho nitacover tutorial 2 ambayo itaongelea kufanya images zicheze (kama avatar yangu)
      tutorial 3 itahusu kuunganisha images and text kama hivi -->
      Last edited by leh; 17th July 2012 at 00:06.
      Baba Mtu, Cookie, terabojo and 2 others like this.
      "I am doing that which I cannot do, in order that I may learn how to do it." -Picaso
      "I trust everybody, it's the inside them that I don't trust." Stella (the Italian Job)

    2. Miaka 50

    3. #2
      shiny c's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 23rd February 2012
      Location : Mbeya
      Posts : 384
      Rep Power : 441
      Likes Received
      41
      Likes Given
      12

      Default Re: Jipatie Custom Animated Avatar Yako HAPA!! (tutorial 1)

      oh hwa ya napga muayo ni ndef sana jarbu kusamarise mr.copy paste

    4. #3
      Mwali's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 9th November 2011
      Location : Ushongo Mabaoni
      Posts : 5,858
      Rep Power : 26879
      Likes Received
      4358
      Likes Given
      4638

      Default Re: Jipatie Custom Animated Avatar Yako HAPA!! (tutorial 1)

      Quote By shiny c
      oh hwa ya napga muayo ni ndef sana jarbu kusamarise mr.copy paste
      Acha uvivu, sasa maaelezo kama haya mtu anafupishaje?
      Great spirits have always encountered violent opposition from mediocre minds
      Albert Einstein

    5. #4
      Boflo's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 20th January 2010
      Posts : 3,761
      Rep Power : 5458
      Likes Received
      3666
      Likes Given
      3714

      Default Re: Jipatie Custom Animated Avatar Yako HAPA!! (tutorial 1)

      Quote By Mwali
      Acha uvivu, sasa maaelezo kama haya mtu anafupishaje?
      ww ulikuwa wapi mpendwa?
      There are some people who could hear you speak a thousand words and still not understand you. And there are others who will understand—without you even speaking a word.

    6. #5
      Crashwise's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 23rd October 2007
      Location : Safarini
      Posts : 13,106
      Rep Power : 14285
      Likes Received
      3991
      Likes Given
      3258

      Default Re: Jipatie Custom Animated Avatar Yako HAPA!! (tutorial 1)

      asante mkuu..

    7. FemaTV & Radio

    8. #6
      Baba Mtu's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 28th August 2008
      Location : DAR ES SALAAM
      Posts : 848
      Rep Power : 716
      Likes Received
      93
      Likes Given
      634

      Default Re: Jipatie Custom Animated Avatar Yako HAPA!! (tutorial 1)

      Quote By Mwali
      Acha uvivu, sasa maaelezo kama haya mtu anafupishaje?
      Mh!! Mie hayo macho yako tu!! Ukitoka mkoleni nitafute!!

      MIMI SIMO! MIMI SIMO! IKO SIKU NA WEWE UTAKUWEMO!
      (I'M NOT CONCERNED! I'M NOT CONCERNED! ONE DAY YOU WILL BE CONCERNED!)

    9. #7
      Jestina's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 6th January 2011
      Posts : 3,626
      Rep Power : 1447
      Likes Received
      844
      Likes Given
      347

      Default Re: Jipatie Custom Animated Avatar Yako HAPA!! (tutorial 1)

      inabidi na hii mkuu Invisible aweke sticky kwa wanaopenda....
      ndetichia likes this.

    10. #8
      Mr Kicheko's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 31st October 2010
      Location : MANZESE
      Posts : 592
      Rep Power : 713
      Likes Received
      135
      Likes Given
      47

      Default Re: Jipatie Custom Animated Avatar Yako HAPA!! (tutorial 1)

      ***mzuka
      Last edited by Mr Kicheko; 17th July 2012 at 09:06.

    11. #9
      Kaa la Moto's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 24th April 2008
      Location : Bristol
      Posts : 6,829
      Rep Power : 1944
      Likes Received
      431
      Likes Given
      4199

      Default Re: Jipatie Custom Animated Avatar Yako HAPA!! (tutorial 1)

      Tunasubiri urudi tena mheshimiwa! thanks so much
      wakati Cuf wanataka kuchukua nchi mwaka 2000 CCM walikuja na single ya kusema Cuf ni waislamu na kwa sasa wanadai sisi Chadema ni chama cha wakristo sasa CCM nacho ni cha watu gani? Watu wakajibu mashetaaaaaniiiiii.!---Wana Kigoma.

      ....Pamoja na kansa ya uongozi wa CCM watu wataendelea kukichagua,au watu wanaweza wakachoka na kusema potelea mbali wakachagua chama KINGINE....Julius. Kambarage. NYERERE"

    12. #10
      teac kapex's Avatar
      Member Array
      Join Date : 23rd January 2011
      Posts : 82
      Rep Power : 438
      Likes Received
      3
      Likes Given
      1

      Default

      Quote By Kaa la Moto
      Tunasubiri urudi tena mheshimiwa! thanks so much
      sijui nimepita hapa kufanyaje make sikuelewa chochote
      Kaa la Moto likes this.

    13. #11
      Mwali's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 9th November 2011
      Location : Ushongo Mabaoni
      Posts : 5,858
      Rep Power : 26879
      Likes Received
      4358
      Likes Given
      4638

      Default Re: Jipatie Custom Animated Avatar Yako HAPA!! (tutorial 1)

      Quote By Boflo
      ww ulikuwa wapi mpendwa?
      Mi nipo tu. Kama vipi tukutane kule tunako kutana kawaida
      Ila njoo taratibu maana mwezi mtukufu umlangoni tayari...
      Boflo likes this.
      Great spirits have always encountered violent opposition from mediocre minds
      Albert Einstein

    14. #12
      Boflo's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 20th January 2010
      Posts : 3,761
      Rep Power : 5458
      Likes Received
      3666
      Likes Given
      3714

      Default Re: Jipatie Custom Animated Avatar Yako HAPA!! (tutorial 1)

      Quote By Mwali
      Mi nipo tu. Kama vipi tukutane kule tunako kutana kawaida
      Ila njoo taratibu maana mwezi mtukufu umlangoni tayari...
      wapi huko? ingia skype mpendwa bac....nataka kusikia sauti yako, una sauti tamu sana...
      There are some people who could hear you speak a thousand words and still not understand you. And there are others who will understand—without you even speaking a word.

    15. #13
      Kaa la Moto's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 24th April 2008
      Location : Bristol
      Posts : 6,829
      Rep Power : 1944
      Likes Received
      431
      Likes Given
      4199

      Default Re: Jipatie Custom Animated Avatar Yako HAPA!! (tutorial 1)

      Quote By teac kapex
      sijui nimepita hapa kufanyaje make sikuelewa chochote
      Pole sana hapa watu wa mafoto shopu ndio wanaweza kuelewa, wengine ni usiku wa kiza tororo tupu.
      Ruhusiwa kupita na kwenda bila kupiga chabo.
      wakati Cuf wanataka kuchukua nchi mwaka 2000 CCM walikuja na single ya kusema Cuf ni waislamu na kwa sasa wanadai sisi Chadema ni chama cha wakristo sasa CCM nacho ni cha watu gani? Watu wakajibu mashetaaaaaniiiiii.!---Wana Kigoma.

      ....Pamoja na kansa ya uongozi wa CCM watu wataendelea kukichagua,au watu wanaweza wakachoka na kusema potelea mbali wakachagua chama KINGINE....Julius. Kambarage. NYERERE"

    16. leh
      #14
      leh's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 30th May 2012
      Location : Mlimani, Dar
      Posts : 682
      Rep Power : 773
      Likes Received
      260
      Likes Given
      12

      Default Re: Jipatie Custom Animated Avatar Yako HAPA!! (tutorial 1)

      Quote By Kaa la Moto
      Tunasubiri urudi tena mheshimiwa! thanks so much
      asante pia Kaa la Moto. jana nimeshindwa kuandika part two ila leo Mungu akipenda nitaandika usiku huu. ningependa uniruhusu nitumie avatar yako kama tutorial ya pili maana hio avatar yako ni nzuri kwa kufunzia tutorial 2 (making basic images move) na tutorial 3 (adding , more effects on a gif) ambapo nataka iwake moto

      your edited avatar -->

      hii ndo ilikuwa iwe image ya kufunzia tutorial 2 -->

      asante pia kwa Baba Mtu, Cookie, Mwali, Crashwise, BHULULU
      na wengine wote mnaofuatilia, nyie ndo mnanipa morale ya kushare
      regards, leh
      "I am doing that which I cannot do, in order that I may learn how to do it." -Picaso
      "I trust everybody, it's the inside them that I don't trust." Stella (the Italian Job)

    17. #15
      Baba Mtu's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 28th August 2008
      Location : DAR ES SALAAM
      Posts : 848
      Rep Power : 716
      Likes Received
      93
      Likes Given
      634

      Default Re: Jipatie Custom Animated Avatar Yako HAPA!! (tutorial 1)

      Quote By leh
      asante pia Kaa la Moto. jana nimeshindwa kuandika part two ila leo Mungu akipenda nitaandika usiku huu. ningependa uniruhusu nitumie avatar yako kama tutorial ya pili maana hio avatar yako ni nzuri kwa kufunzia tutorial 2 (making basic images move) na tutorial 3 (adding , more effects on a gif) ambapo nataka iwake moto

      your edited avatar -->

      hii ndo ilikuwa iwe image ya kufunzia tutorial 2 -->

      asante pia kwa Baba Mtu, Cookie, Mwali, Crashwise, BHULULU
      na wengine wote mnaofuatilia, nyie ndo mnanipa morale ya kushare
      regards, leh
      Dogo nimekukubali. Ebu nitengezee avatar hii "BABA MTU". Ikiwa nzur ntaitumia.
      Kaa la Moto likes this.
      MIMI SIMO! MIMI SIMO! IKO SIKU NA WEWE UTAKUWEMO!
      (I'M NOT CONCERNED! I'M NOT CONCERNED! ONE DAY YOU WILL BE CONCERNED!)

    18. #16
      ndetichia's Avatar
      JF Gold Member Array
      Join Date : 18th March 2011
      Location : Mwime - Buswangili
      Posts : 18,198
      Rep Power : 5100
      Likes Received
      2778
      Likes Given
      231

      Default Re: Jipatie Custom Animated Avatar Yako HAPA!! (tutorial 1)

      mbona ujaeleza wapi tutapta hiyo adobe fotoshop..
      " kuendelea kwa tanzania ni mara baada ya sisi kuacha ubinafsi!.. ''
      **Maisha kama ndala yatakatika anytime. Mpoki**

    19. #17
      Kaa la Moto's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 24th April 2008
      Location : Bristol
      Posts : 6,829
      Rep Power : 1944
      Likes Received
      431
      Likes Given
      4199

      Default Re: Jipatie Custom Animated Avatar Yako HAPA!! (tutorial 1)

      Quote By leh
      asante pia Kaa la Moto. jana nimeshindwa kuandika part two ila leo Mungu akipenda nitaandika usiku huu. ningependa uniruhusu nitumie avatar yako kama tutorial ya pili maana hio avatar yako ni nzuri kwa kufunzia tutorial 2 (making basic images move) na tutorial 3 (adding , more effects on a gif) ambapo nataka iwake moto

      your edited avatar -->

      hii ndo ilikuwa iwe image ya kufunzia tutorial 2 -->

      asante pia kwa Baba Mtu, Cookie, Mwali, Crashwise, BHULULU
      na wengine wote mnaofuatilia, nyie ndo mnanipa morale ya kushare
      regards, leh
      Ruksa kabisa kutumia hiyo avatar kwenye tuition. Nitaitumia hiyo baadaye ukiwa umeshanifundisha kui animate
      wakati Cuf wanataka kuchukua nchi mwaka 2000 CCM walikuja na single ya kusema Cuf ni waislamu na kwa sasa wanadai sisi Chadema ni chama cha wakristo sasa CCM nacho ni cha watu gani? Watu wakajibu mashetaaaaaniiiiii.!---Wana Kigoma.

      ....Pamoja na kansa ya uongozi wa CCM watu wataendelea kukichagua,au watu wanaweza wakachoka na kusema potelea mbali wakachagua chama KINGINE....Julius. Kambarage. NYERERE"

    20. leh
      #18
      leh's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 30th May 2012
      Location : Mlimani, Dar
      Posts : 682
      Rep Power : 773
      Likes Received
      260
      Likes Given
      12

      Default Re: Jipatie Custom Animated Avatar Yako HAPA!! (tutorial 1)

      Quote By Baba Mtu
      Dogo nimekukubali. Ebu nitengezee avatar hii "BABA MTU". Ikiwa nzur ntaitumia.
      maneno mazuri yananitegaje..
      mpaka nitengeneze avatar ambayo itakuridhisha itabidi tubadilishane mawazo. nilikuwa nafikiri niweke jina lako ndani ya rotating circles. nimeweka "B" hapa ili upate idea yangu. hio hapo ni prototype tu, ili uone ninachofikiri. nipo kwenye pilka za kutafuta font unique na ninataka nijue kama ni idea nzuri au niscrap and start afresh. pia, ningetaka nijue rangi ambazo unapendelea nitumie kwenye circles na text. nimetumia lilac na black kwa example

      Baba Mtu likes this.
      "I am doing that which I cannot do, in order that I may learn how to do it." -Picaso
      "I trust everybody, it's the inside them that I don't trust." Stella (the Italian Job)

    21. #19
      afrodenzi's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 1st November 2010
      Location : sweet home
      Posts : 15,616
      Rep Power : 26573
      Likes Received
      5846
      Likes Given
      5721

      Default Re: Jipatie Custom Animated Avatar Yako HAPA!! (tutorial 1)

      very nice ...
      life goes on.....

    22. #20
      Endangered's Avatar
      JF Bronze Member Array
      Join Date : 22nd September 2011
      Location : Orbit
      Posts : 899
      Rep Power : 396
      Likes Received
      190
      Likes Given
      962

      Default Re: Jipatie Custom Animated Avatar Yako HAPA!! (tutorial 1)

      Quote By Baba Mtu
      Dogo nimekukubali. Ebu nitengezee avatar hii "BABA MTU". Ikiwa nzur ntaitumia.
      Aisee! hivi umejuaje leh ni dogo?
      teh teh, Baba mtu bwana!
      "No matter how busy you may think you are, you must find time for reading, or surrender yourself to self-chosen ignorance" Confucius (551-479 BC)

    Page 1 of 2 12 LastLast

    User Tag List

    Posting Permissions

    • You may not post new threads
    • You may not post replies
    • You may not post attachments
    • You may not edit your posts
    •  

    Who are WE?

    JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

    You are always welcome! Read more...

    Where are we?

    We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

    For anything related to this site please Contact us.

    Contact us now...

    DISCLAIMER

    JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

    Read more...

    Forum Rules

    JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

    You MUST read them and comply accordingly. Read more...

    Privacy Policy

    We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

    Read our Privacy Policy. Proceed here...