Support JamiiForums and Become a 'JF Premium Member' | Click HERE for Details
    Show/Hide This

    Topic: Computer ya Dell dimension E 520 inatoa message ya ajabu

    Report Post
    Page 2 of 2 FirstFirst 12
    Results 21 to 25 of 25
    1. #1
      basat's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 28th May 2012
      Posts : 187
      Rep Power : 389
      Likes Received
      22
      Likes Given
      16

      Default Computer ya Dell dimension E 520 inatoa message ya ajabu

      Computer ina boot mpaka mwisho lakini baada ya sekunde kadhaa screen inabadilika na kuwa ya blue ikiwa na message ifuatayo
      ***Hardware Malfunction
      Call your hardware vendor for support
      NMI: Parity check/ Memory parity error
      ***The system has halted***

      Mwenye kujua tatizo ni nini naomba msaada tafadhali nimekwama mwenzenu.

    2. FemaTV & Radio

    3. #21
      sijui nini's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 29th September 2010
      Location : home
      Posts : 1,748
      Rep Power : 7637
      Likes Received
      497
      Likes Given
      447

      Default Re: Computer ya Dell dimension E 520 inatoa message ya ajabu

      Quote By basat
      Hakuna nilichobadili mkuu hiyo PC inazaidi ya miaka 5 inatumika, nakumbuka siku za nyuma wakati nacheza game ilizima yenyewe nilivyoiwasha haikuwaka ikatoa beep sound nilivyobadilisha RAM nikaweka katika slot nyingine iliwaka ikaendelea kupiga mzigo lakini hali hiyo ilikuwa ikijirudia na mara ya mwisho wakati nacheza game ikatokea blue screen hiyo ni juzi tu na ni mara ya kwanza kutokea hivyo.
      Ok..kwahiyo kuna uwezekano mkubwa tatizo likawa ni hiyo RAM au slots za kuwekea hiyo RAM..unatumia chips ngapi za RAM? kama ni zaidi ya moja jaribu kubadili badili kila slots kwa kutumia RAM moja moja (trial and error) mpaka utajua ni RAM ipi au slot ipi inamatatizo..kama unatumia RAM moja jaribu kubadili kwenye slots tofauti na kila unapobadili kabla haija boot ingia kwanza kwenye BIOS settings (F2) wakati inawaka then set kila kitu to default settings save then ndo uiache iwake!! na kama kuna uwezekano wa kupata RAM nyingine kwa kujaribia itakuwa vizuri ili kuthibithisha kama kweli tatizo si RAM ama lah!!
      The signature you are looking at now does not exist.....

    4. leh
      #22
      leh's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 30th May 2012
      Location : Mlimani, Dar
      Posts : 682
      Rep Power : 774
      Likes Received
      260
      Likes Given
      12

      Post RAM kitu gani?

      kompyuta inavyowaka (boot) the first thing huwa inafanya ni the Power On Self Tests (POST). hizi test ni za kuhakisha system inaenda vizuri na itatoa beeps au messages tofauti kama kuna error in major components. hizi major components ni mobo (motherboard), processor, hard disk na RAM. I suppose tunaweza ongeza pia HSF (heat sink fan) na PSU (power supply unit). if any of these hazifunction properly YOUR COMPUTER WILL NOT BOOT period!!

      cha pili computers huangalia ni VGA. depending na manufacturer wa kompyuter yako, kama vga ina shida your computer may or may not boot (tuachane na the fact ya kuwa haitadisplay if the vga wont work lol).
      hizi hapa ni basic computer knowledge na mnaniangusha sana mnavyojadili kama ni RAM ina shida wakati computer bila RAM haiboot

      Quote By basat
      kuna maneno haya "Error allocating Mem BAR for pci device" je inawezekana kuna hitilafu kwenye HDD au RAM?
      ulivyosema kwamba computer yako inaboot vizuri lakini misho wa siku inakuletea hiyo message in red, narudia tena, kuna shida in one of ur PCI cards au either ur BIOS haijazitambua vizuri. if a piece of hardware haitambuliki in BIOS, then ur OS haitaweza kuzi recognise pia.
      fanya hivi. fungua mashine yako utoe every piece of PCI card installed on it. nadhani unajua PCI cards ni nini (and ofcoz nilieleza hapo awali) iwe ni ya modem au sound, just remove it. boot kompyuta yako bila any of them uone kama itaboot. ikiboot bila any error message, izime then weka card moja ndani ureboot tena. ikioot, zima, chomoa card uliyoweka sogeza pembeni and try another card. rinse and repeat mpaka umshike culprit.
      of course inawezekana kuwa kuna slot imekufa, so ukipata card inayo malfunction, jaribu kubadilisha slot (hata kama una 16-8-8)
      unaweza ona kama ni time consuming, ila bila kufanya hivi, hutajua shida ya kompyuta yako (that au kumtafuta fundi kama mie ). so test ALL your pci cards
      kuna uwezekano pia kuwa mobo yako ndo ina shida kwenye pci slots na pci cards zake ndo hazina shida (in which case ur looking to buy another motherboard) lakini naamini shida sio kubwa kihivo
      good luck leh
      "I am doing that which I cannot do, in order that I may learn how to do it." -Picaso
      "I trust everybody, it's the inside them that I don't trust." Stella (the Italian Job)

    5. #23
      basat's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 28th May 2012
      Posts : 187
      Rep Power : 389
      Likes Received
      22
      Likes Given
      16

      Default Re: Computer ya Dell dimension E 520 inatoa message ya ajabu

      Natumia RAM moja tu 512MB ila slot zipo 4 kwahiyo nitayafanyia kazi hayo maelezo yenu then nitarudisha majibu.... Ahsante
      Last edited by basat; 13th July 2012 at 16:01.

    6. #24
      Baba Mtu's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 28th August 2008
      Location : DAR ES SALAAM
      Posts : 848
      Rep Power : 717
      Likes Received
      93
      Likes Given
      634

      Default Re: Computer ya Dell dimension E 520 inatoa message ya ajabu

      Quote By basat
      sasa kaka umechangia nini kama hujui si ukae tu kimya uwapishe wanaojua ustaarabu kitu cha bure
      Huo ni mchango tosha. Kama jualizika nao tafuta ktk forums zingine. Mi binafsi ningekushauri urejee post hii ya sijui nini.
      MIMI SIMO! MIMI SIMO! IKO SIKU NA WEWE UTAKUWEMO!
      (I'M NOT CONCERNED! I'M NOT CONCERNED! ONE DAY YOU WILL BE CONCERNED!)

    7. #25
      Baba Mtu's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 28th August 2008
      Location : DAR ES SALAAM
      Posts : 848
      Rep Power : 717
      Likes Received
      93
      Likes Given
      634

      Default Re: Computer ya Dell dimension E 520 inatoa message ya ajabu

      Quote By sijui nini
      asante!..ila nimekuwekea link yenye maelezo ya kutosha juu ya hiyo B.S.O.D..na wengi imewasaidia..kama haikufai poa! Kila la kheri..


      Mola akupe noyo wa subira dogo sijui nini. Endelea hivohivo, mjinga usimfuate walisema wahenga.

      Quote By basat
      NIlishakubali makosa yangu kwa kutoelewa kama ile ilikuwa link, sasa sijui nini naomba msaada tena kabla ya ile blue screen
      kuna maneno haya "Error allocating Mem BAR for pci device" je inawezekana kuna hitilafu kwenye HDD au RAM?

      Angalau umekuwa muungwana kwa kuomba msamaha. Wahenga walisema muungwana akivuliwa nguo huchutama. Hongera sana.
      MIMI SIMO! MIMI SIMO! IKO SIKU NA WEWE UTAKUWEMO!
      (I'M NOT CONCERNED! I'M NOT CONCERNED! ONE DAY YOU WILL BE CONCERNED!)

    8. Miaka 50

    Page 2 of 2 FirstFirst 12

    User Tag List

    Posting Permissions

    • You may not post new threads
    • You may not post replies
    • You may not post attachments
    • You may not edit your posts
    •  

    Who are WE?

    JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

    You are always welcome! Read more...

    Where are we?

    We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

    For anything related to this site please Contact us.

    Contact us now...

    DISCLAIMER

    JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

    Read more...

    Forum Rules

    JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

    You MUST read them and comply accordingly. Read more...

    Privacy Policy

    We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

    Read our Privacy Policy. Proceed here...