waungwana... kulipia huduma ya internet ktk bb kwa sisi wengine ni mtihan so kama kuna muungwana anaejua jins ya kuifanya itumie internet km cmu nyingine nielekezen..
waungwana... kulipia huduma ya internet ktk bb kwa sisi wengine ni mtihan so kama kuna muungwana anaejua jins ya kuifanya itumie internet km cmu nyingine nielekezen..
No way
Kuna watu wamejaribu ku hack lakini haijaleta matokeo mazuri
Independent thinker
Humu jf baadhi yetu wametengeneza haki miliki ya they way they think, you have to think like them and have drawn a line of where one has to belong, you are either "with us" or "against us", if you don't sail the same boat then you are an enemy!. -Pasco wa JF
Nakushauri iuze tu kama malipo yake huyamudu, welcome to analog phones mkuu
RIM BBM wameiprotect ile mbaya,ata mamlaka za mawasiliano za nchi mbalimbali wamesalimu amri kuhack,mwaka juzi Eltsalat walitengeneza software ya kuhack chart za BBM waliambulia za uso mbaya! Nnakushauri wewe jiunge na BIS tu Voda wameshusha sasa ni 20 elfu kwa mwezi kuhack sahau
mimi natumia bold 9700.....sijawahi kuthubutu kujiunga na BIS ila browser yaangu ya simu ilikuwa inafungua net kama kawaida na nilikuwa na download applications na zinafanya kama kawaida
Follow Us Here