Wangwana, mwenyekujua duka amabalo naweza kupata battery hiyo anijulishe maana naihitaji sana wakuu.
Wangwana, mwenyekujua duka amabalo naweza kupata battery hiyo anijulishe maana naihitaji sana wakuu.
Unaweza kuisubiria cku 11 for shipping mkuu?
6 CELL BATTERY FOR DELL XPS M1530 1530 RU030 TK330 | eBay
With Paypal account u can purchase by ur own mkuu. Ebay na Amazon wana trust kubwa mkuu
Nilikuwa na Account na CRDB ila nadhani tangu 2010 sijaupdate kwakuwa mwajiri alinilzimisha kuoitisha mshahara wangu NBC na kwahiyo nkaona si vyema kuendelea kuwana ACCOUNT nyingi kwa maana nina ata nyingine na Barclays. Ila kama Posta inawezekana basi, ni vyema unielekeze howa to go about kutuma na kupokea mzigo huo kwa maana nataka si tu betri bali na bidhaa nyinginezo.
Okey mkuu am not sure with barclays but nahisi wana hiyo huduma ya online mkuu check nao halafu watakusaidia
Don't Ever Give Up If You Still Want to try, Don't Ever Settle for an Answer If You Still Want to Know.
Ndugu usiumize kichwa hiyo issue yako ni ndogo sana
1.Unataka original au copy?
Nipe jibu, ukiwa tayari, tarehe 18 mwezi huu unapokea battery pale Airport Dar.
jaribu freedom communication!
Tatizo sio kupata Battery... hizo batteryu zipo sana Bongo ila bei yake huwezi kupata less than laki na nusu
Follow Us Here