samahani ni modemu ya aina gan n nzuri kwa matumizi ya laptop!
samahani ni modemu ya aina gan n nzuri kwa matumizi ya laptop!
Zantel ipo poa
Modem nzur kwa sasa ni inayoweza kuchakachulika na kukubali line tofauti.
Airtel usijaribu ni zaidi ya presha, ni kimeo, 3.75 ni usanii mtupu!
Tumia yoyote kulingana na maeneo ulipo KASORO Airtel na Tigo. Hao ni usanii, hazina spidi
... our Conflict has never been about the establishment of a Palestinian state, it's always been about the existence of the Jewish state. - Benjamin Netanyahu.
Voda ndo mpango mzma,kasi ya ajabu.
Mara nyingi kasi ya uchakataji huwa inawekewa kikomo kulingana na furushi la data ulilonunuai, kadiri furushi linapokuwa dogo na kasi inapungua. Mfano modemu ya Airtel ya ZTE MF190 ina kasi kikomo ya 7.2 MB/Sek. lakini wanaweza kuipunguza kulingana na mapendeleo yao. Hebu jaribu kununua kifurushi cha mwezi cha tiGO, afu uniambie.
ni Vodacom. Juzi, Jana, Leo na Kesho. Wengine wanajikongoja.
TTCL ndo kila kitu.
Vodacom na Zantel zipo vizuri!
Pamoja na hayo yote inategemea upo wapi.
Zote ni tamu wakuu!!!
nunua modem ya voda ya zte k3571-z ipo poa ukishanunua download join air utatumia line yoyote
kabla hujanunua modem ndgu yangu angalia maeneo unayokaa je ni mtandao gani unakasi nzuri na hausumbui kwenye simu mpaka internet yake ndio ukanunue hiyo modem au kama unaweza nunua modem za voda hizi mpya ni rahisi sana kuzichakachua kisha tumia line yoyote..
Nunu universal modem bhana
TTCL ndio the best ever sababu hao tigo zantel vodacom Airtel sasatel wanachukua internet kutoka TTCL
Zantel
mkuu iyo software ya join air nasikia ikoje na naweza pata wapi website vanilla mkuu
Follow Us Here