Support JamiiForums and Become a 'JF Premium Member' | Click HERE for Details
    Show/Hide This

    Topic: jifunze jinsi ya kudownload kwa torrent

    Report Post
    Results 1 to 17 of 17
    1. #1
      Third Eye's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 8th January 2012
      Posts : 174
      Rep Power : 462
      Likes Received
      29
      Likes Given
      14

      Default jifunze jinsi ya kudownload kwa torrent

      Hello guys, kuna friends walinigusia hili, nimeandika kidogo today kuhusu how to download using Bittorrent, so lets get the party started, what is torrent? Torrent ni file lolote linalokuwa sent kupitia BitTorrent protocol. Linaweza kuwa movie, music, video, program, vitabu etc. Wakati linatoka sehemu moja kwenda nyingine, linakuwa halijakamilika hivyo linakuwa refered as torrent. Kama halijakamilika haliwezi kufunguliwa kwa kuwa halina data zote muhimu.

      Torrents zipo tofauti na downloads nyingine, kwa kawaida unapodownload kitu unakidownload kutoka server moja, ila kwa torrrents, unadownload kutoka server nyingi nyingi, na kwa kuwa kwa kawaida ISP (Internet Service Provider) wanatoa download speed kubwa kuliko upload speed, hivyo kuziunganisha server nyingi kuongeza kasi ya kudownload na kupunguza Bandwidth kwa server zinazoruhusu downloads.

      Ok now acha tutazame BitTorrent ni nini na inafanyaje kazi, Bittorrent ni p2p protocol iliyokuwa designed kupunguza bandwidth required to transer files. Kwa mfano, unataka kudownload movie, BitTorrent system inlocate computer nyingine duniani ambazo zina file lilelile(na BitTorrent protocol ofcourse) na kuanza kudownload hiyo movie kutoka computer mbalimbali.

      Ili utumie hii Bittorrent protocol, unahitaji Bit torrent client, nii ni BitTorrent progam ambazo ni kama zifuatazo

      Kwa Windows BitTorrent, uTorrent, Xtorrent, Vuze, RitRocket, Transmission,
      Kwa Linux ni, Vuze, Ktorrent, Deluge, na Transmission.

      Important terms
      Torrent ni file ambalo halijakamilika na pia ni file dogo, linalotumika kuidentify content unazozitaka.
      BitTorrent client : ni program unayotumia kudownload kwa torrent
      Bit torrent Index : ni Websites zinazotoa torrent files,(vile vidogo vitakavyotumika kustart downloads.
      Seeds : ni watu waliomaliza kudownload file na wanakuacha na wewe udownload kutoka kwao.
      Leech : NI watu wanaodownload file kama wewe.

      Getting started

      Baada ya kujua hiyo intro, then what to do.
      Kwanza download uTorrent hapa, au BitTorrent hapa (Na recommend uTorrent, ni ndogo ina kama kb 864 hivi)
      Install program uliyodownload
      Search chochote unachotaka ongezea na neno torrent kwa mbele,
      Download htorrent file dogo, kwenye download window kuna open au save file, choose open file ili lifungukie uTorrent moja kwa moja, liache lidownlload, likimaliza liache useed kidogo, halitumii speed kubwa wala halitakulia MB zako nyingi (its goog to give back kidogo ulichopewa wewe)
      Enjoy
      Guys samahani nimeshidwa kuandika sana nipo kwenye pepa, so in few days ntaandika tutorial ndefu yenye kila kitu including, Torrent tracker, safety when downloading torrents, anonymity, legal actions na nyingine nyingi, just tuvumiliane kidogo
      sijui nini, NingaR and BIG Banned like this.

    2. Miaka 50

    3. #2
      Mu-sir's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 12th October 2010
      Posts : 1,262
      Rep Power : 689
      Likes Received
      326
      Likes Given
      345

      Default Re: jifunze jinsi ya kudownload kwa torrent

      thank you so far it is a good explanation.

    4. #3
      Biohazard's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 21st August 2011
      Location : Dar es Salaam
      Posts : 1,368
      Rep Power : 991
      Likes Received
      309
      Likes Given
      210

      Default Re: jifunze jinsi ya kudownload kwa torrent

      Asante

    5. #4
      dy/dx's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 26th July 2011
      Posts : 356
      Rep Power : 467
      Likes Received
      33
      Likes Given
      1

      Default Re: jifunze jinsi ya kudownload kwa torrent

      shukrani kwa ufafanuzi mkuu

    6. #5
      Gwangambo's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 30th June 2012
      Location : Mabwepande
      Posts : 1,113
      Rep Power : 570
      Likes Received
      266
      Likes Given
      86

      Default Re: jifunze jinsi ya kudownload kwa torrent

      Chengachenga zungusha antenna funga busta, au weka king'amuzi olah!


    7. #6
      Mpiga Nyoka's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 11th April 2011
      Posts : 213
      Rep Power : 453
      Likes Received
      52
      Likes Given
      11

      Default Re: jifunze jinsi ya kudownload kwa torrent

      Mkuu kwahiyo seeding inakula MB?
      KINEGA

    8. #7
      NingaR's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 15th April 2012
      Location : C:\Windows\SysWOW64
      Posts : 2,491
      Rep Power : 856
      Likes Received
      384
      Likes Given
      76

      Default Re: jifunze jinsi ya kudownload kwa torrent

      Mkuu Third Eye Kama nilivyo ahidi mkuu nimekumwagia like. thanks kwa maelezo mazuri sana ila kuna baadhi ya sehemu bado niko porini.
      1) Kuna Utorrent ya kulipia na bure je, tofauti ni ipi??
      2)nilazima kuseed au sio lazima??
      Nihato tu kwa leo.
      Thank again

    9. #8
      Third Eye's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 8th January 2012
      Posts : 174
      Rep Power : 462
      Likes Received
      29
      Likes Given
      14

      Default Re: jifunze jinsi ya kudownload kwa torrent

      Quote By Mpiga Nyoka
      Mkuu kwahiyo seeding inakula MB?
      yeah but ni kidogo sana, na uzuri sio lazima useed muda mrefu, kiogo kidogo kusaidia na wengine wapate pia ulichodownload wewe,

    10. #9
      Third Eye's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 8th January 2012
      Posts : 174
      Rep Power : 462
      Likes Received
      29
      Likes Given
      14

      Default Re: jifunze jinsi ya kudownload kwa torrent

      1. extra features for paid version is
      • Protect your computer with integrated antivirus
      • Get the codecs you need to enjoy HD video
      • Easily move files to your favorite devices


      2.kuseed sio lazima, ila ni vizuri because kama hakuna wanaoseed, itakuwa tabu kupata vitu vipya, so kama unaweza its good, kama huwezi its fine pia

    11. #10
      rosemarie's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 29th April 2011
      Posts : 4,732
      Rep Power : 1367
      Likes Received
      280
      Likes Given
      142

      Default Re: jifunze jinsi ya kudownload kwa torrent

      mkuu Third eye natanguliza shukrani zangu kwako kwa somo hili zuri na muhimu kabisa'mimi binafsi naishi kwa kidowload na kuuza software mbalimbali via bitorrent'pc yangu haizimwi manake nina download karibu 200 kwa mwezi'dowload speed yangu ni 512mbp'inachukuwa muda mrefu kudowload kitu cha 1gb'kuna wakati inachukuwa week nzima'je kuna njia ya kudowload fast the same speed?halafu kitu kinachonisumbua sana nikishamaliza download kuna kipindi lile foulder linabakia empty'hiyo inasababishwa na nini na nani ana delete ile program'je nifanyeje hapo?

    12. #11
      nxon's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 16th July 2011
      Posts : 550
      Rep Power : 508
      Likes Received
      30
      Likes Given
      11

      Default Re: jifunze jinsi ya kudownload kwa torrent

      mia mia mwana!

    13. #12
      Mwanahisa's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 29th June 2012
      Posts : 1,160
      Rep Power : 580
      Likes Received
      314
      Likes Given
      130

      Default Re: jifunze jinsi ya kudownload kwa torrent

      3rd Eye. big up, All the best in your exam. Hope to see you back soon.
      Success Requires No Explanations, Failure Permits No Alibis- Napoleon Hill

    14. #13
      +255's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 1st January 2012
      Posts : 1,098
      Rep Power : 592
      Likes Received
      208
      Likes Given
      0

      Default Re: jifunze jinsi ya kudownload kwa torrent

      Ukiacha hiyo kwa kutumia computer, vp kuhusu wanaotumia sim? Kuna application inaitwa symtorrent nimei install kwenye simu yangu, ila tatizo kila ikitaka kudownload inaniambia bad file format! Je ni format gani ambazo zinatakiwa kuwa downloaded kupitia sim?

    15. #14
      Fakhi Jumaa's Avatar
      Member Array
      Join Date : 12th April 2012
      Posts : 84
      Rep Power : 375
      Likes Received
      6
      Likes Given
      27

      Default

      Thanx Buddy,its been of much boost to me,nakutakia mitihani myema na u pasue fresh, i' ll be waiting for the full lecture ya hii kitu,all the best Kaka

    16. #15
      Khalifab's Avatar
      Member Array
      Join Date : 6th July 2012
      Location : TABORA SIKONGE
      Posts : 39
      Rep Power : 354
      Likes Received
      2
      Likes Given
      4

      Default Re: jifunze jinsi ya kudownload kwa torrent

      pole na exam brther...nashkuru kwa kutufumbua na kutupatia vitu vizur tena free of charge..kuna shida moja nahis sijaelewa,,ni kwamba tayar nimeshapata set up ya U TORRENT na BIT TORRENT na tayar inakuwa imekwishafunguka moja kati ya hizi program............. TATIZO LANGU SASA .............................. ............

      mfano nahitaji ku download brother,nashindwa kuweka kile kitu ambacho nakihititaji,,,,,,,, mfano muvie na vitu vingine

      pia sielewi maana ya LINK na Jinsi ya ku copy LINK na kudownload ili kitoke kitu like muvie plz plz NISAIDIE THIRD EYE........ [email protected]

    17. #16
      g.n.n's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 8th October 2010
      Location : Dar es salaam-kitunda.
      Posts : 349
      Rep Power : 507
      Likes Received
      38
      Likes Given
      34

      Default Re: jifunze jinsi ya kudownload kwa torrent

      na mimi nasema hongera kwa Ufafanuzi mzuri.

    18. #17
      g.n.n's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 8th October 2010
      Location : Dar es salaam-kitunda.
      Posts : 349
      Rep Power : 507
      Likes Received
      38
      Likes Given
      34

      Default

      Hongera kaka

    User Tag List

    Posting Permissions

    • You may not post new threads
    • You may not post replies
    • You may not post attachments
    • You may not edit your posts
    •  

    Who are WE?

    JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

    You are always welcome! Read more...

    Where are we?

    We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

    For anything related to this site please Contact us.

    Contact us now...

    DISCLAIMER

    JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

    Read more...

    Forum Rules

    JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

    You MUST read them and comply accordingly. Read more...

    Privacy Policy

    We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

    Read our Privacy Policy. Proceed here...