Habari Wakuu.
Katika nyakati za hivi karibuni website ya TBC, yaani http://tbc.go.tz imekuwa ikilalamikiwa sana na wadau kwamba ipo chini ya kiwango na hairidhishi. Wadau kama Mtazamaji na Kang walikuwa mstari wa mbele kuhamasisha maboresho ya tovuti ya TBC.
Nimedesign website mbadala wa site ya TBC na nimeiweka hapa http://tbc.hostoi.com na features nyingi zinaonekana hapo. Nitajaribu kuwapa TBC hii tovuti lakini wasipoitaka nitaitupa na kuifuta. Kama kuna mwenye maoni ningependa kuyasikia. Hii ni moja ya websites nyingi nilizotengeneza so worry not when giving comments. Itanisaidia hata kwenye websites nyingine nilizotengeneza. Nawasilisha,
Habari Wakuu.
Katika nyakati za hivi karibuni website ya TBC, yaani http://tbc.go.tz imekuwa ikilalamikiwa sana na wadau kwamba ipo chini ya kiwango na hairidhishi. Wadau kama Mtazamaji na Kang walikuwa mstari wa mbele kuhamasisha maboresho ya tovuti ya TBC.
Nimedesign website mbadala wa site ya TBC na nimeiweka hapa Tanzania Broadcasting Corporation na features nyingi zinaonekana hapo. Nitajaribu kuwapa TBC hii tovuti lakini wasipoitaka nitaitupa na kuifuta. Kama kuna mwenye maoni ningependa kuyasikia. Hii ni moja ya websites nyingi nilizotengeneza so worry not when giving comments. Itanisaidia hata kwenye websites nyingine nilizotengeneza. Nawasilisha,
Mkuu sidhani kama kwa ukubwa wake itweza kufunguka kwenye mchina.
nadhani hiyo site ni joomla. unaweza kuadd extension ya kuifanya iwe mobile compatible, eg iwe ina detect android, iphone, blackberry, simu za kawaida na kubadili muonekano ili kufiti size ya skirini ya izo simu

Akichokuwa anaongelea ni kufungua kwenye mchina. Simu za mchina hazisupport JavaScript na kama zipo ni chache sana. Kuhusu kufanya website iwe supported na mobile devices, nimeshafanya hivyo. In fact, nimeshatengeneza mpaka mobile application for major platforms.
I can do all things through Christ who strengthens ME.
Ujinga mtupu, television ya taifa inatuwekea site yenye text badala ya kufanya live broadcast ya TV na radio zake, tunaishia kusikiliza kiss fm na clouds fm. Hili shirika linashindwa na Arusha mambo! Hovyo kabisa. hatuna interest na text hizo, maana hizo tunaweza kuzisoma hata kwenye magazeti. Tunataka live broadcast.
Mtaji mkubwa kabisa wa CCM katika chaguzi zake ni umaskini na ujinga wa watanzania. CCM haitafanya kosa la kuyamaliza matatizo hayo kwa kuwa kwa kufanya hivyo watakuwa wamehatarisha nafasi yao ya kuendelea kutawala
Habari Wakuu.
Katika nyakati za hivi karibuni website ya TBC, yaani Tanzania Broadcasting Corporation - (TBC) imekuwa ikilalamikiwa sana na wadau kwamba ipo chini ya kiwango na hairidhishi. Wadau kama Mtazamaji na Kang walikuwa mstari wa mbele kuhamasisha maboresho ya tovuti ya TBC.
Nimedesign website mbadala wa site ya TBC na nimeiweka hapa Tanzania Broadcasting Corporation na features nyingi zinaonekana hapo. Nitajaribu kuwapa TBC hii tovuti lakini wasipoitaka nitaitupa na kuifuta. Kama kuna mwenye maoni ningependa kuyasikia. Hii ni moja ya websites nyingi nilizotengeneza so worry not when giving comments. Itanisaidia hata kwenye websites nyingine nilizotengeneza. Nawasilisha,
GIVENALITY
bro me naona yako its not user friendly!! bora yao wenyewe its user friendly than urz
Nimejaribu kuicheki, kuna error inatokea kila ukiifungua hiyo page. Vilevile nimecheki na original ya TBC then nikafanya comparison. Mtazamo wangu, ya kwako ina contents nyingi ukilinganisha na ya kwao. Kwa upande wa picha, yakwao naona picha zao zina mvuto kiasi ukilinganisha na za kwako na vilevile images zao zina move/slide kitu ambacho naona kidogo kinaongeza mvuto kwa watazamaji na kwa upande wa zakwako hazi-move. Mwisho nadhani ukifanya maboresho kiasi kwenye hii site yako, itakua iko juu ukilinganisha na ya kwao. Nimewekea snapshots za zote sites for easier comparison.
Mkuu sidhani kama kwa ukubwa wake itweza kufunguka kwenye mchina.
By MtotoSix
nadhani hiyo site ni joomla. unaweza kuadd extension ya kuifanya iwe mobile compatible, eg iwe ina detect android, iphone, blackberry, simu za kawaida na kubadili muonekano ili kufiti size ya skirini ya izo simu
itkua addition nzuri, lakini kazi iko poa
did you use gavickpro? if yes, is it something you can recommend to Joomla Developers?
Last edited by Uswe; 8th July 2012 at 08:37.
mbona sioni umeme, maji wala barabara, 30% PAYE na Kodi nyingine katika bidhaa, zinaenda wapi?
Akichokuwa anaongelea ni kufungua kwenye mchina. Simu za mchina hazisupport JavaScript na kama zipo ni chache sana. Kuhusu kufanya website iwe supported na mobile devices, nimeshafanya hivyo. In fact, nimeshatengeneza mpaka mobile application for major platforms.
Nimejaribu kuicheki, kuna error inatokea kila ukiifungua hiyo page. Vilevile nimecheki na original ya TBC then nikafanya comparison. Mtazamo wangu, ya kwako ina contents nyingi ukilinganisha na ya kwao. Kwa upande wa picha, yakwao naona picha zao zina mvuto kiasi ukilinganisha na za kwako na vilevile images zao zina move/slide kitu ambacho naona kidogo kinaongeza mvuto kwa watazamaji na kwa upande wa zakwako hazi-move. Mwisho nadhani ukifanya maboresho kiasi kwenye hii site yako, itakua iko juu ukilinganisha na ya kwao. Nimewekea snapshots za zote sites for easier comparison.
Hayo ni maoni yangu.
Thanks, I seem not no find the images you attached. Unaweza kuzipandisha tena?
I can do all things through Christ who strengthens ME.
sijaona tofauti kubwa kati ya kwako na ya tbc. kwa kuboresha zaidi au kuifanya better than ya TBC, ninaona ungeongeza ongeza abit more color into it, ukicheki hata sites kama cnn.com na news.sky.com ambazo ni news oriented stations wamejaribu kufanya their sites colourful ili ivutie zaidi.
link hata video clip moja
"I am doing that which I cannot do, in order that I may learn how to do it." -Picaso
"I trust everybody, it's the inside them that I don't trust." Stella (the Italian Job)

Ok, ahsante. Do you know the TBC webmaster?

Follow Us Here