Wakuu, baada ya kupokea maoni na ushauri mwingi mno, tumeamua kuirudisha AfroIT.com, hivyo tunaizindua rasmi hapo jumatatu. Utaweza kuipata kwenye linki ileile ya AfroIT - Elimu na mafunzo kwa njia ya mtandao
Je nini ungependa kiwemo kwenye AfroIT toleo jipya??
Sharing knowledge occurs when people are genuinely interested in helping one another develop new capacities for action; it is about creating learning processes.
aH SAFI SANA LAKINI WAKATI MUNAIONDOA MUNGETWAMBIA PIA, KWA MAANA TULIPOKUWA TUNAWAULIZA KUNANI MLIKUWA HAMTUJIBU NAFIKIRI HUO SIO UTENDAJI KAZI MZURI.NIMEFURAHI SANA KUIRUDISHA AfroIT KWA MAANA NI KISIMA CHA ELIMU
Yeah ni kweli, tuliiondoa bila taarifa kutokana na sababu zilizo nje ya uwezo wetu. Kwa sasa tumerudi tukiweka mkazo kwenye ushirikishwaji wa members, ushirikiano kati ya member na member na pia muonekano usiomchosha msomaji. Kama ilkivyokuwa kawaida, pia tutalitumia hili jukwaa la Jamii Forums (Tech forums) katika kufikisha taarifa kwa wananchi wengi zaidi.Pamojah

Follow Us Here