Msaada modem ya zantel inajidisconect mara kibao!!help me guys!
Msaada modem ya zantel inajidisconect mara kibao!!help me guys!
modem ya zantel kichefuchefu me yangu nimeiweka kabatini
nilijua labda hilo ni tatizo la kwangu peke yangu.
Kama huna meno,usile bisi, kula Bwimbwi yaani kimbugi. Uongozi ukikushinda waachie wanaoweza!
zantel wanadisconect kila baada ya dk 10 ukiwa either huna hela au huna bundles, nyote mnaosema ni wale victim wa vpn's, jaribuni kueka bundle ndogo tu then conect halaf tuone kama itadisconect
yap kma una2mia zle za cdma kma hna vocha au bando na una2mia vpn itakata tafta line za zantel thn weka kwnye modem hzi za kawaida inapga poa
wale wa natumia cdma kwa vpn pia wanaweza tumia hii
Re: Msada plz... modem ku disconnect( huawei mobile patner) nitawezaje kuzuia hili tatizo?
jamani mm katika pitapita nimefanikiwa kupata hii hAcx Internet Auto-Dialer - CNET Download.com ukisha download weka interval ya 15 sec ili iwe inacheki yenyewe kama kuna disconnection iweze connect....kwa mm imenisaidia
Labda jaribu na hii: (Bado sija test).
Keep Alive Tools - TotalShareware Software Archive
Follow Us Here