Camera ya nokia 5310 xpres music iko shallow sana,ivi hakuna trick,ya kuwezesha!!
Camera ya nokia 5310 xpres music iko shallow sana,ivi hakuna trick,ya kuwezesha!!
hapo hamna la kufanya zaid ya kuitoa transparent tu!
nlikua nayo hiyo cm a while back nakumbuka picha ukiweka highest quality na highest res, ilikua inatoa pics nzuri sana tena kama ni mchana na kuna supply nzuri ya mwanga ndo basi kabisa. Nina galley ya pics nlizopiga kipndi hicho at home ntaupload some uchck zilivo poa. Unless unaongelea ile Xpress ya mchina :D;)
Follow Us Here