guys natumia laptop aina ya Toshiba Satelite but all of a sudden mlango wa dvd kila nikiweka dvd inagoma haisomi, naombeni msaada wa mawazo guys im stuck kwa kweli
guys natumia laptop aina ya Toshiba Satelite but all of a sudden mlango wa dvd kila nikiweka dvd inagoma haisomi, naombeni msaada wa mawazo guys im stuck kwa kweli
kama una vile vipamba vya kujichokolea masikioni uchafu jaribu kuweka spirit kidogo kisha safisha (lens) ya huo
mlango wa toshiba Satelite kisha ngojea kama dakika 5 kisha washa laptop yako weka CD au DVD ikisoma
umefanikiwa hauku soma jaribu njia nyingine hii washa laptop yako kisah bonyeza F2 kabla hajafunguka hiyo laptop
yako kisha kule kwenye Bios Settings kwenye boot weka Fist Boot isome CD ya pili isome HDD ya tatu i disable Flopy
kisa bonyeza F10 kisha ubonyeze (Enter) itasoma hiyo DVD au CD Room drive isiposoa ujuwe huo mlango umekufa tafuta mlango mwengine.
Only Do What Your Heart Tells You
Allah Has Not Revealed A Disease without Treatment.... (Prevention is Better Than Cure) Email Address yangu hii [email protected]
pia unaweza kuifungua hiyo cd rom yako yote(yaani iachanishe kabisa cd rom na laptop kisha irudushie) inaweza ikasoma kama tatizo lilikuwa ni bad connection
Mimi laptop yangu HP 1000 mlango wa DVD uligoma kusoma DVD baada ya mimi kujaribu kuchoma DVD, sasa unasoma CD tu. Nisaidieni.Nifanyeje wandugu.
dvd yako imekufa, nina dvd used nzuri nitafute. 0767102102, email: [email protected]
dvd yako inakaribia kufa, nina dvd used nzuri nitafute. 0767102102, email: [email protected]
Follow Us Here