Habari zenu wana JF, naomba msaada wa kutatua hili tatizo kwenye flash yangu kwani kila nikiiweka naambiwa Your USB device is not recognized
Nawasilisha.
Habari zenu wana JF, naomba msaada wa kutatua hili tatizo kwenye flash yangu kwani kila nikiiweka naambiwa Your USB device is not recognized
Nawasilisha.
hiyo nadhani ni kukosekana drive wa hiyo usb. Ila kwa kawaida huwa inajiinstall ukiclick hiyo meseji. Umewahi kuitumia hiyo device kwenye computer hiyo? Inakubali kwenye computer nyingine?
Follow Us Here