Muda mrefu nmekua nikifatilia kuhusu binadamu kwenda mwezini na wanasema Neil Armstrong ndio mtu wa kwanza kufika huo, je kuna ukweli wowote AnD what about the conspiracy theory.
Muda mrefu nmekua nikifatilia kuhusu binadamu kwenda mwezini na wanasema Neil Armstrong ndio mtu wa kwanza kufika huo, je kuna ukweli wowote AnD what about the conspiracy theory.
nakufananisha na kasuku aliyewekewa kioo yani alikua hamini alichokiona hata alipmfikicha macho wakati ukwel aliujua
na advancemnt yote binadamu wanafanya, unashindwa kuamini anaweza land on the moon? really guvnor??
na unaongelesa kuhusu conspiracy theory ipi coz zipo kibao
tsk tsk tsk...
"I am doing that which I cannot do, in order that I may learn how to do it." -Picaso
"I trust everybody, it's the inside them that I don't trust." Stella (the Italian Job)
no man landed on the moon.
Huwezi kutumia effort kubwa kiasi hicho kudanganya ulimwengu mzima wakati hamna benefits zozote za gain.
No mercy
The tech back in the fifty's wasn't that advanced to fake the landing footage
Was fake, mpaka leo wameambiwa watumie satelite kutafuta mabaki ya vipande vya jet vilivyobaki Kwenye mwezi ila wamekataa, why?
Photo zilikuwa edited, na nyingine haieleweki zilipigwa na nani mfano picha ya kuonyesha astronaunt anakanyaga moon at the first time ilipigwa na nani wakati yeye ndie wa kwanza kushuka?
Walishirikiana na UFO na disney chanel kutengeneza story fake, ili kuionyesha dunia kuwa marekani anaweza kwa kuwa kipindi kile kulikuwa na cold war, pia NASA alikuwa anataka apewe kipaumbele kwenye bajet ya Taifa, alipewa billion of Dolars.
Kwanini wale astronaunts wauawe wote katika mauaji ya ajabu? Hata wafanyakazi wa NASA wanakataa na wengine wanaipinga Moon landing. Why?
it is fake?????? tupeni evidence za kutosha
yeah kweli, moon landing was a real deal nd ukifatilia link above vizuri(niliona hiyo show discvry) NASA were kind enough to leave a retro refrector on the surface of the moon so if u،ve gt a powerful laser u cn point at the landing location nd a signal will b received back on earth. A definate proof that man has been there
kuna dhana kwamba picha ziliandaliwa area 51, ni restricted area. Maswali ni mengi, nani alipiga picha pia bendera haionyeshi kama inapepea. Ipo kama ubao. Mambo ni mengi hata NASA wanapata wakati mgumu kujibu
jibu kamili bado sijapata..nashukuru kwa mchanganuo
Follow Us Here