Support JamiiForums and Become a 'JF Premium Member' | Click HERE for Details
    Show/Hide This

    Topic: Airtel ni wababaishaji

    Report Post
    Results 1 to 17 of 17
    1. #1
      h120's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 10th January 2012
      Posts : 151
      Rep Power : 402
      Likes Received
      22
      Likes Given
      7

      Default Airtel ni wababaishaji

      Ndugu wana jf hawa airtel ni wazushi kwenye tangazo lao wanasema buy airtel modem for 30000 and get free internet for 6 months. Na vigezo vyao ni kwamba utumie si chini ya 6000 ili upate hiyo offer lakini kusema kweli hii offer ni hewa sasa huu si ubabaishaji.

    2. Miaka 50

    3. #2
      Bujibuji's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 4th February 2009
      Location : NYUMBANI PANONO
      Posts : 13,899
      Rep Power : 11205
      Likes Received
      7062
      Likes Given
      5296

      Default Re: Airtel ni wababaishaji

      Sio wababaishaji ila ni wahongaji wazuri. Kuna watu TCRA wAKO KWNY PAYROLL YA AIRTEL

    4. leh
      #3
      leh's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 30th May 2012
      Location : Mlimani, Dar
      Posts : 682
      Rep Power : 774
      Likes Received
      260
      Likes Given
      12

      Default Re: Airtel ni wababaishaji

      ubabaishaji is such a polite word. huu ni WIZI, tena wizi mkubwa tu. au labda definition ya free imebadilika?
      "I am doing that which I cannot do, in order that I may learn how to do it." -Picaso
      "I trust everybody, it's the inside them that I don't trust." Stella (the Italian Job)

    5. #4
      Kipimbwe's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 27th July 2011
      Posts : 269
      Rep Power : 449
      Likes Received
      29
      Likes Given
      20

      Default Re: Airtel ni wababaishaji

      Ni CHAMA KINGINE CHA WEZI

    6. #5
      webondo's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 29th April 2012
      Location : Chini ya mwembe
      Posts : 1,167
      Rep Power : 589
      Likes Received
      178
      Likes Given
      381

      Default Re: Airtel ni wababaishaji

      Siwapendi hao kwa utapeli wao! Lakini kila mtu (mlaji au mtumiaji) ana haki ya kupeleka malalamiko TCRA.

    7. RukaaJuu Final

    8. #6
      stineriga's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 20th June 2012
      Location : On My Way
      Posts : 782
      Rep Power : 687
      Likes Received
      189
      Likes Given
      130

      Default Re: Airtel ni wababaishaji

      matangazo yote mwishoni wanakwambia vigezo na masharti kuzingatiwa, huwa hamuelewi maan yake?
      hate it or love it

    9. #7
      Muangila's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 24th February 2010
      Posts : 817
      Rep Power : 633
      Likes Received
      186
      Likes Given
      497

      Default Re: Airtel ni wababaishaji

      hata ile cheapest bundle yao 2500 wameiondoa rasmi jaribuni muone

    10. #8
      TOWER's Avatar
      Junior Member Array
      Join Date : 24th October 2011
      Posts : 2
      Rep Power : 0
      Likes Received
      0
      Likes Given
      0

      Default Re: Airtel ni wababaishaji

      mi nilishangaa baada ya kununua Modem hamna kitu kama hicho, sasa nikajiuliza ni mimi tu au kuna vigezo vingine, Ni kosa kubwa sana kutoa ahadi za uongo kwenye biashara. Ila Tanzania mambo mtelemko.

    11. C6
      #9
      C6's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 25th April 2011
      Location : Mtaa Wa Saba
      Posts : 3,083
      Rep Power : 19361
      Likes Received
      1775
      Likes Given
      1513

      Default Re: Airtel ni wababaishaji

      Bundle ya 2500 ipo nimejiunga masaa machache yaliyopita

    12. #10
      mojoki's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 21st October 2010
      Posts : 904
      Rep Power : 616
      Likes Received
      128
      Likes Given
      4

      Default Re: Airtel ni wababaishaji

      bundle ya 2500 itaendelea kupatikana kwa wale watumiaji wa awali, ikimaanisha kama wewe ni mtumiaji mpya itabidi ujiunge na bundle nyingine kwa kupiga *154*44#

    13. #11
      Cestus's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 23rd January 2011
      Posts : 975
      Rep Power : 617
      Likes Received
      114
      Likes Given
      24

      Default Re: Airtel ni wababaishaji

      net yao kwangu imeshuka speed balaa na nipo kwenye 3G coverage!! cjui waba mashetani gan

    14. #12
      Mkirua's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 9th September 2010
      Posts : 3,421
      Rep Power : 1036
      Likes Received
      1173
      Likes Given
      599

      Default Re: Airtel ni wababaishaji

      Hii sio marketing strategy nadhani aliyeibuni ameidhalilisha sana Airtel kwani kila tangazo lao naloliona kupitia SMS zao nadelete bila kusoma kwasababu najua ni matapeli na hawana jipya.... Bahati mbaya tu kuna watu ninawasiliana nao na wana namba hiyo tu ningeshaitia kw dust bin....hivyo vigezo na masharti ambayo hayasemwi popote kw tangazo wala kw vipeperushi wala kwa watoa huduma kwa wateja Customer care ni wizi...
      The world suffers a lot. Not because of the violence of bad people, but because of the silence of good people!

    15. #13
      g.n.n's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 8th October 2010
      Location : Dar es salaam-kitunda.
      Posts : 348
      Rep Power : 507
      Likes Received
      38
      Likes Given
      34

      Default Re: Airtel ni wababaishaji

      hata mimi yamenikumba baada ya kununua Moderm nikajua nitapata free internet for 6 monthes kumbe ni holaaaa

    16. #14
      g.n.n's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 8th October 2010
      Location : Dar es salaam-kitunda.
      Posts : 348
      Rep Power : 507
      Likes Received
      38
      Likes Given
      34

      Default Re: Airtel ni wababaishaji

      hata mimi yamenikumba baada ya kununua Moderm nikajua nitapata free internet for 6 monthes kumbe ni holaaaa

    17. #15
      Mpita Njia's Avatar
      JF Gold Member Array
      Join Date : 3rd March 2008
      Posts : 6,703
      Rep Power : 3255
      Likes Received
      984
      Likes Given
      757

      Default Re: Airtel ni wababaishaji

      Quote By leh
      ubabaishaji is such a polite word. huu ni WIZI, tena wizi mkubwa tu. au labda definition ya free imebadilika?
      Kweli, hili ndilo neno linalofaa zaidi kwao
      I assume full responsibility for my actions, except the ones that are someone else's fault.

    18. leh
      #16
      leh's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 30th May 2012
      Location : Mlimani, Dar
      Posts : 682
      Rep Power : 774
      Likes Received
      260
      Likes Given
      12

      Default Re: Airtel ni wababaishaji

      Quote By stineriga
      matangazo yote mwishoni wanakwambia vigezo na masharti kuzingatiwa, huwa hamuelewi maan yake?
      na masharti yanatakiwa yaendane na maneno yao. definition ya free ni exempt from external authority, interference, restriction, etc., as a person or one's will, thought, choice, action, etc.; independent; unrestricted. masharti yanayoweza kuwekwa ili baado useme ni free ni labda kwa utumiaji (abuse) na hata muda ni ruksa (kama wanavyotoa free ya saa sita za usiku), ila ukishasema kwamba ulipie basi sio free tena. neno linalofaa ni offer ambayo maanake ni a proposal or bid to give or pay something as the price of something else, na since wanasema wanauza kwa bei che, wanatakiwe waseme wanapromotional offer au special offer ila kutumia jina free na kuweka masharti ni kutuibia
      "I am doing that which I cannot do, in order that I may learn how to do it." -Picaso
      "I trust everybody, it's the inside them that I don't trust." Stella (the Italian Job)

    19. #17
      Baniani Mzuri's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 7th November 2010
      Posts : 112
      Rep Power : 455
      Likes Received
      29
      Likes Given
      4

      Default Re: Airtel ni wababaishaji

      Quote By Bujibuji
      Sio wababaishaji ila ni wahongaji wazuri. Kuna watu TCRA wAKO KWNY PAYROLL YA AIRTEL
      Duu this is serious issue

    User Tag List

    Posting Permissions

    • You may not post new threads
    • You may not post replies
    • You may not post attachments
    • You may not edit your posts
    •  

    Who are WE?

    JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

    You are always welcome! Read more...

    Where are we?

    We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

    For anything related to this site please Contact us.

    Contact us now...

    DISCLAIMER

    JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

    Read more...

    Forum Rules

    JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

    You MUST read them and comply accordingly. Read more...

    Privacy Policy

    We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

    Read our Privacy Policy. Proceed here...