Jamani laptop ikikwambia hivo ndo tatizo linatatuliwaje?Mana inaonesha ka x kwny battery pale chini kulia full time..
Natumia acer na ina window 7,je tatizo hili hutokea pia kwa aina nyingine?
yours trully,
desperate
Jamani laptop ikikwambia hivo ndo tatizo linatatuliwaje?Mana inaonesha ka x kwny battery pale chini kulia full time..
Natumia acer na ina window 7,je tatizo hili hutokea pia kwa aina nyingine?
yours trully,
desperate
Huelewi KIINGELEZA au?? hiyo inamaanisha battery kushneyy nunua mpya ubadirishe
Haiwezi kuzima ikiwa utakuwa umeunganisha adaptor na umeme.
Matumizi ya battery ni kuitumia pale unapokuwa hukuunganisha na umeme, kwa hivyo battery unaweza hata kuitoa na kuunganisha na umeme moja kwa moja na bado ikafanyakazi.
Na mimi ninayo acer imekumbwa na tatizo hilo hilo, kwa sasa ninaitumia kama desktop kwani siwezi kuitumia pasipo umeme.
Bei za battery acer mitandaoni zinaanzia na $60 na kuendelea, inategemea acer yako ni series gani na unataka battery ya aina gani.
"JF - SAUTI YA WASIO NA SAUTI ............ na wapayukaji"
Battery imekufa kutokana na matumizi yako, inaonekana unatumia laptop ikiwa connected kwenye umeme. Usijidanganye kwenda kununua battery hovyohovyo tafuta authorised dealer ndo ununue kama ukimkosa basi jaribu kuagiza hata nje ili kupata battery imara. Bei sifahamu but haiwezi kuzidi Us $80.
Battery original ni 120000 kkoo kwa duka la jamaa mmoja ivi. Pole kwa msiba pia!
Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
Jamani naomba kuuliza inawezekana sielewi vizuri katika ulimwengu wa electronics. Kunauhusiano gani wakuharibika kwa battery ya laptop kwakuchomeka laptop moja kwa moja kwenye umeme. kwa ufahamu wangu mdogo wa umeme hasa kwenye vifaa sensitive kama computers hua kuna circuits zinazo zuia overcharging kwa battery, ninaomba msaada kwamaelezo yakitaalam jaman!
Follow Us Here