Mkuu natumia Huawei E367 uwezo ni 21mbps na kuhusu kifurushi natumia kifurushi ambacho hawajalimit speed yani full kujiachia. Ukihitaji hii speed unatakiwa kutumia line zao zantel za 3g sio zilo modem dume za CDMA ambazo hazitumii line
mkuu hiyo line ya zantel ya 3g nikiweka kwenye phone yangu ya 3g itashika 3g?
unajua hata kama jogooo akikataa kuwika kama asubuhi ni asubuhi tu. maana kuna jogoo wengine wanakataa kuwika wakidhani kuwa kama hawakuwika wao asubuhi haitafika..... angalia screenshot ya jamaa katika server za idm (vile vipande vipande kabla ya kuunganishwa) tayari ameshadownload megabyte tisa, nane, saba na nk which means yupo kati kati ya download na ameshashusha 48MB. mie namuamini
Praise the LORD, O my soul; and all that is within me, bless His holy name!
unajua hata kama jogooo akikataa kuwika kama asubuhi ni asubuhi tu. maana kuna jogoo wengine wanakataa kuwika wakidhani kuwa kama hawakuwika wao asubuhi haitafika..... angalia screenshot ya jamaa katika server za idm (vile vipande vipande kabla ya kuunganishwa) tayari ameshadownload megabyte tisa, nane, saba na nk which means yupo kati kati ya download na ameshashusha 48MB. mie namuamini
ur logic is null and invalid!! still its a screenshot.....a video would be more satisfying.. i just Google ths screenshot!!!
Re: ZANTEL...! Hizi ndo Speed Ambazo Tumezoa na wala Hatushangai
Mkuu mimi nimeamua kuwakimbia ni heri nilipokuwa natumia SASATEL kwani 1.5GB nilikuwa na jikongoja nayo mpaka mwisho wa mwezi kwa speed ya kuridhisha lakini kwa sasa natumia 2GB kwa 15,000 lakini inakwisha baada ya siku sita hivi. Hii ni hasara sana kwa wanaojenga kama sisi labda tujue pakupiga ufisadi
Wewe ni marketing wao eeee aama wamekupa bure??? Hawana lolote ovyooooo niliweka 1GB nusu nilie...hata kushare page inagoma , niliimisi JF nikahisi kuugua, hata mitandao ya watoto kama facebook haifungui labda kama unakaa nje ya geti la server zao hapo......njoo huku kwentu Bonyokwa uone inavyoboa acha hiyo mambo bana acha kabisa.....hawa wana cover mjini tu....mi naona kama wahuni matangazo mazuri na ahadi kibao kumbe ndani uozo tuuuu
Re: ZANTEL...! Hizi ndo Speed Ambazo Tumezoa na wala Hatushangai
By mirindimo

Mkuu pole sana inaonekana una bahati mbaya sana kwa hayo maeneo yako hatujakufikia. suala lako nimelipeleka kwa wahusika basi tunalifanyia kazi. Naomba kujua ulikua unatumia modem gani? ya CDMA au ulitumia line zetu za GSM(3G) mkuu?
Re: ZANTEL...! Hizi ndo Speed Ambazo Tumezoa na wala Hatushangai
By mirindimo
Wewe ni marketing wao eeee aama wamekupa bure??? Hawana lolote ovyooooo niliweka 1GB nusu nilie...hata kushare page inagoma , niliimisi JF nikahisi kuugua, hata mitandao ya watoto kama facebook haifungui labda kama unakaa nje ya geti la server zao hapo......njoo huku kwentu Bonyokwa uone inavyoboa acha hiyo mambo bana acha kabisa.....hawa wana cover mjini tu....mi naona kama wahuni matangazo mazuri na ahadi kibao kumbe ndani uozo tuuuu
ni kweli huyu ametumwa, siku nyingi nilishaitupa hiyo modem ya zantel, full kukata!!
Follow Us Here