wanajamii ntawezaje kuweka link kwenye post za facebook?mfano nataka kumuelekeza mtu'ingia hapa u download nyimbo'
wanajamii ntawezaje kuweka link kwenye post za facebook?mfano nataka kumuelekeza mtu'ingia hapa u download nyimbo'
copy hiyo link paste kwenye sehem ya ku update status...
The signature you are looking at now does not exist.....
[QUOTE=sijui nini;4082125]copy hiyo link paste kwenye sehem ya ku update status...elezea vizur
pale unapoweka status update si unapajua...?? yeah...then copy hiyo link yako na uipaste hapo...subiri kama sekunde 10 hivi utaona yenyewe ina search contents za hiyo link then ikimaliza we una post tu!
The signature you are looking at now does not exist.....
unataka maelezo yakupeana link kama [www.arsenal]hivi[/www.arsenal]
hii inakua hivi, ila sio kwenye fesi1000 tu kwenye mtandao kwa ujumla,
Cheki huu mfano hapa
(url="www.jamiiforums.com") HAPA (/url)
cha kufanya hapa wewe una andika kama ilivyo hapo juu ila kwenye mabano ya ( ) badilisha yawe [ ].,
mimi nikibadilisha itakua hivi
HAPA
yaan hata ku copy na ku paste tu mmeshindwa...lah!!!
The signature you are looking at now does not exist.....
sure, sio mbaya walisha elekeza ila namimi nimekua expert so it helps, fanya kama nalivyoandika hapa chini ila utatumia mabano ya square yani [ ] ,kwa mfano zaidi, wewe just copy na ku paste hyo eg hapo then edit hayo mabano ya () na weka ya [ ], hapo kwenye website ndio unaweka adress ambayo unataka umpe mtu link yenyewe, embu jaribu tuone
Last edited by wiseboy; 24th June 2012 at 16:05.
Inakubali kwenye
mobile serviçe
acha uvivu jaribu mwenyewe
Follow Us Here