Embu tujuzane wana Jf hawa jamaa wa polisi wana wataalam wa cyber crime ?
Embu tujuzane wana Jf hawa jamaa wa polisi wana wataalam wa cyber crime ?
Ndio Wanayo, makao yake makuu yapo Dar.
Wapo, wanao.
System At Work
"nimetembea angani na ardhini Tanzania nzima sijaona Rais na serikali iliyotukuka kiutendaji kama hii ya KIKWETE." - Freeman Aikaeli Mbowe
Kwahiyo wanadeal na hacking, net fraud or what?
Mbona sheria sa cyber crime hakuna??.
Tanzania ni tajiri,tena tajiri sanaaaa, lakini dah we acha tu! sijui kwanini watu wake masikini?
Hute embu nitajie hyo sheria na imeanzshwa lini, na kwa kiwango gani inacover cyber crime?
sidhani kama wanayo hii idara askari wengi wa magumashi cyber crime inahitaji watu wenye shule ya ethical hacking... 5 years to come itakuwepo maybe
tatizo lako wewe unataka sheria specific inayotaja jina kabisa "cyber crime Act".....kwani kinachofanyika kwenye cyber crime ni nini? ni vitu kwa mfano theft, missappropriation of public funds, fraud etc, na makosa hayo yote yanashitakika kwa kutumia cap. 16, No. 11 ya 2007 PCCB na zingine, ila cha muhimu ni kwamba wakati ule wa kutoa ushahidi ndio TEA inaingia kwasababu TEA inatambua electronic evidence kwa sasa. sasa hata wakileta sheria maalumu kwa cyber crime kuna umuhimu gani wa ziada wakati kwa sheria zilizopo makosa ya cyber crime yanashitakika vizuri tu? labda wewe uniambie ni kosa gani la cyber ambalo litashindwa kushitakika kwa sheria zilizopo kwasababu ya kukosekana kwa hiyo specific Act unayoitaka.
Tanzania ni tajiri,tena tajiri sanaaaa, lakini dah we acha tu! sijui kwanini watu wake masikini?
Kuna kitengo cha Money Laundering ila sio sehemu ya polisi. Wamo polisi, usalama wa taifa na PCCB na wengine! Nadhani wanahusika na uchunguzi wote wa Cyber crimes. Kimeanzishwa kisheria na ofisi zao zipo wizara ya fedha.
kitengo cha cyber polisi pala makao makuu wanacho,kuna SP mmoja pale pollisi anaitwa Shagihil, amesomea mambo haya Botswana na France na yeye yupo kwenye kitengo hicho cha cyber, asset recovery na money laundering......huo ni mfano tu.... pia hata pale kwa DPP sukari house kitengo hicho kipo, kuna ma state attorney wanashughulikia hilo specifically kabisa.....
Tanzania ni tajiri,tena tajiri sanaaaa, lakini dah we acha tu! sijui kwanini watu wake masikini?
Ukienda pale wizara ya mambo ya ndani kuna idara inaitwa cyber crimes unit ni moja ya kitengo cha polisi,sheria ipo inaitwa Electronic and Postal Communications Act [CAP. 306]of 2010,sheria imetaja makosa ingawa bado inamapungufu. Pia kitengo cha cyber crimes kinamapungufu ya wataalamu,
FBI ndio wanaowatrain,Wapo pia waliojifunza South Africa,Singapore na UK
Ukweli wapo fit ila vifaa na Funds ndio Tatizo,lakini wana uzoefu kama wazungu kwani ikumbukwe kuwa wanafanya Mitihani kama hao wazungu na Pia Jeshi letu alipeleki Vyihioo huko. Hii ni sambamba na Serikali yetu inavyotuma maofisa wa vyombo vingine vya ulinzi na usalama kule Cuba,Israel,na UChina
yep ipo. 3rd floor, makao makuu ya manjagu. Posta near exim tower.
Cybercrimes are defined as: "Offences that are committed against individuals or groups of individuals with a criminal motive to intentionally harm the reputation of the victim or cause physical or mental harm to the victim directly or indirectly, using modern telecommunication networks such as Internet (Chat rooms, emails, notice boards and groups) and mobile phones (SMS/MMS)"
sasa, naomba niambiwe law hipi hizo hapa bongo zina cover cybercrime na msinipe hizo story za Postal and Communications act, it doesnt cover cybercrime
halafu na wewe mkuu, usifananishe electonic evidence na cyber crime. kama kuna records kwenye kompyuta kuwa una kosa, inakuwa evidence, not an act of crime
cybercrime ni uhalifu wa kuelekea utumiaji wa kompyuta au kutumia kompyuta kufanya uhalifu. mfano ni viruses, piracy na phishing. niambie wapi sheria zetu zinataja tu kuhusu haya mambo
"I am doing that which I cannot do, in order that I may learn how to do it." -Picaso
"I trust everybody, it's theinside them that I don't trust." Stella (the Italian Job)
Nivigumu kujua utashtakiwa kwa sheria gan nadhin itahitaji uchunguzi wakina kidogo!
Follow Us Here