habari wana JF ..HIVI NI SPEED GANI NZURI KWA KU DOWNLOADING MOVIE KWENYE U TORRENT WAKUU...BTWN SEC-5MINITS.
habari wana JF ..HIVI NI SPEED GANI NZURI KWA KU DOWNLOADING MOVIE KWENYE U TORRENT WAKUU...BTWN SEC-5MINITS.
mimi nakupa kwanza warining
ujue hapo unafanya copyright infringment
utapewa warning wkt unadownload na wanaweza kukutrace kwa kutumia IP address its very easy kukudaka
marekani washafungwa wengi tu na nchi za ulaya pia.
soma hii kesi ya Pirate bay The Pirate Bay - Wikipedia, the free encyclopedia
sometimes unaweza kutumiwa virus vikauwa pc kwani ni illegal downloading unayotaka kufanya
what to do ni kununua dvd online utapewa instructions za kufanya
wanaita digital downloading after making payment.
acheni kupenda vya bure madhara yake makubwa sana.
You may know me but you have no Idea who I am !
google andika jina la movie unayotaka utaelekezwa wapi pa kuipata
utapewa maelekezo yote how to purchase online
utapewa details zote za huyo service provider,adress yake,location, how to pay, how to download nk
ila ujue right to cancell payment inakuwepo kabla hujaanza kudowload
ukishalipa utatumiwa additional terms and conditions
cha muhimu uwe na credit card,visa au mastercard ili uweze kulipa online.
mnaoiba ibeni tu lakni ipo siku mtajuta.
You may know me but you have no Idea who I am !
standard chartered bank, exim nadhani na crdb wana hizo visana master card.
ndani yake kuna number utatakiwa kuingiza nadhani digits 14 na pia utaambiwa uingize expire date ya kadi yako na no zingine tatu za siri zipo ktk kadi ukishaingiza bank husika itaveify payment na kukuambia uingize pasword yako then bank itakukata hicho kiasi na kutuma kwa huyo service privider unakonunua dvd.so wizi hakuna.
You may know me but you have no Idea who I am !
Kuna wakati unakuta online software nyingine ya muhimu sana kwako lakini inalipiwa hela kidogo sana, labda $2 nk lakini mtu unaikosa. Ukiwa na kadi hizi unainunua na kuipata mara moja then unaenjoy!
Shughuli pevu kupata credit card tz labda debit nakubali.....
Acheni vitisho Utorrent ni safe zaidi ya maelezo.. Nna album za wasanii, movie na vitabu kibao kupitia Utorrent kwa miaka kibao sasa..
Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
all western countries use utorrent acha ubongo lala... wanao kamatwa wanafanya pirate ya namna ingine lakin sio kitu kisha tupiwa torrent alaf mimi mteja third part nije kukamatwa.. never
Ikala Vindu
Follow Us Here