Wakuu nina nokia C3,imewekewa Opera mini kinachonitatiza nashindwa ku-updates kwasababu option yake iko FENTI(hainiruhusu ku-updates)je nawezaje kufanya hivyo wakuu.msaada
Wakuu nina nokia C3,imewekewa Opera mini kinachonitatiza nashindwa ku-updates kwasababu option yake iko FENTI(hainiruhusu ku-updates)je nawezaje kufanya hivyo wakuu.msaada
Mkwawa nisaidie namna ya kuongeza RAM ya cm yangu
Futa hiyo Opera na download Opera 4.4 ambayo ni nzuri kwa simu za aina hiyo.
sasa hueleweki umeshindwa ku update existing opera au umeshindwa kudownload opera mpya
nokia e51
C3 haikubaligi opera nyngne zaid ya version 4 na 5,,huwezi kuweka zaid ya hizo,,mfano ukiweka opera 6 itakuambia invalid application so hapo labda uweke opera 5 ambayo na mm ndo naitumia,,uiinstal kwa nokia Pc suite coz kwa kuidownload inakataa pia
kwa simu zote za nokia ambazo zimekua na opera built in au ovi browser mara nyingi zinazingua opera za jad unachotakiwa wewe ni kudownload opera yenye format ya jar.
Mfano download opera hii hapa
http://mini.opera.com/global/opera-m...dvanced-en.jar
Ikikubali au kukataa leta feedback
respect chief mkwawa
next google mobile9 utapata suluhisho la matatizo yako yanayohusu applications za nokia
Follow Us Here