Support JamiiForums and Become a 'JF Premium Member' | Click HERE for Details
    Show/Hide This

    Topic: Msaada: Hiki ni kirusi au kitu gani?

    Report Post
    Results 1 to 3 of 3
    1. #1
      georgeallen's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 3rd June 2011
      Location : Seattle, WA, USA
      Posts : 2,051
      Rep Power : 0
      Likes Received
      516
      Likes Given
      259

      Default Msaada: Hiki ni kirusi au kitu gani?

      Nimepata ujumbe (Email) kwenye computer yangu ambao baada ya kuufungua na kuusoma niligundua ni Spam. Hii siyo shida. Tatizo ni kwamba nilipokuja kufungua tena email yangu baadae, nilikutana na ujumbe (replies) kwamba ujumbe niliopeleka kwa e.g. [email protected] haukuweza kupelekwa wakati mimi ujumbe ule sikumpelekea mtu yoyote. Kwa hiyo watu wote nilio na-address zao wote wamepata na wanaendelea kupata ujumbe huo. Nifanyeje kukomesha hii kitu maana kila aliyepata huu ujumbe anasema nawasumbua?.

    2. Miaka 50

    3. #2
      Donn's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 5th June 2012
      Posts : 2,076
      Rep Power : 2877
      Likes Received
      800
      Likes Given
      125

      Default Re: Msaada: Hiki ni kirusi au kitu gani?

      dah.. Hapo chamsingi ni kuscan mashine yako tu.. Kama ungekuwa na antivirus ya internet ingekusaidia tangu mwanzo

    4. #3
      Young Master's Avatar
      JF Gold Member Array
      Join Date : 22nd December 2008
      Location : Arusha, Tanzania.
      Posts : 6,104
      Rep Power : 7416
      Likes Received
      2069
      Likes Given
      1476

      Default Re: Msaada: Hiki ni kirusi au kitu gani?

      t
      Quote By georgeallen
      Nimepata ujumbe (Email) kwenye computer yangu ambao baada ya kuufungua na kuusoma niligundua ni Spam. Hii siyo shida. Tatizo ni kwamba nilipokuja kufungua tena email yangu baadae, nilikutana na ujumbe (replies) kwamba ujumbe niliopeleka kwa e.g. [email protected] haukuweza kupelekwa wakati mimi ujumbe ule sikumpelekea mtu yoyote. Kwa hiyo watu wote nilio na-address zao wote wamepata na wanaendelea kupata ujumbe huo. Nifanyeje kukomesha hii kitu maana kila aliyepata huu ujumbe anasema nawasumbua?.
      There is nothing you can do mkuu. toa ripoti kwa yahoo na wao watatatua tatizo lako.
      Advertise your products, business & services with us 100% free |www.globaladverts.biz

    5. FemaTV & Radio

    User Tag List

    Posting Permissions

    • You may not post new threads
    • You may not post replies
    • You may not post attachments
    • You may not edit your posts
    •  

    Who are WE?

    JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

    You are always welcome! Read more...

    Where are we?

    We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

    For anything related to this site please Contact us.

    Contact us now...

    DISCLAIMER

    JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

    Read more...

    Forum Rules

    JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

    You MUST read them and comply accordingly. Read more...

    Privacy Policy

    We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

    Read our Privacy Policy. Proceed here...