ATM_Thefts_Presentation (1).pdf
Kwa watumiaji wa ATMs kuweni makini sana. Kuna aina ya wizi umeingia. Angalieni hiyo attachment kwa maelezo zaidi.
ATM_Thefts_Presentation (1).pdf
Kwa watumiaji wa ATMs kuweni makini sana. Kuna aina ya wizi umeingia. Angalieni hiyo attachment kwa maelezo zaidi.
"In the end, we will remember not the words of our enemies, but the silence of our friends". Martin Luther King Jr.
Jaman anayeweza kutusaidia tunaotumia simu zisizo na uwezo wa kufungua pdf tusome huo ujumbe tutamshukuru sana.
Mh naombeni
na cc wenyewe cm m2saidie
Hapo kweli lazima uibiwe, asante sasa nitakuwa makini.
Sijanufaika na bandiko
Inanihusu ila kanokia kangu kana OS ya kawaida sana kufungua hilo file la pdf ni inshu.
ya zamani sana hii slide.
Moola's the motive
Ndo mmetug0mea watumiaji wa cmu?
Post japo page moja ya content iliyopo kwenye WARNING yako kuhusu ATM lasivyo UMENIACHA SOLEMBA
Thanks bud
Hii imeshashtukiwa hawaifanyi tena.siku hizi wanakukaba unatoa PW wanakomba akaunti wanatupa card
Thinking is the hardest work there is,which is probably the reason why so few engage in it!!
Follow Us Here