specification ni nini?
na ni zipi hizo?
saidia
specification ni nini?
na ni zipi hizo?
saidia
Nitajie vivyo vitu pls very argent
Mkuu specifications ni vitu ambabyo hiyo computer inavyo, sasa wewe unataka iwe na vitu gani
Mfano RAM, PROCESSOR, DISPLAY n.k......
SOMA HIZI DEFINITIONS
1. the act of specifying.
2. a detailed description or assessment of requirements, dimensions, materials, etc., as of a proposed building, machine, bridge, etc.
3. a particular item, aspect, calculation, etc., in such a description.
4. something specified, as in a bill of particulars; a specified particular, item, or article.
5. an act of making specific.
6. the state of having a specific character.
hapo nadhani umemkoroga kabisa, mimi nadhani anataka specification zote ili aweze kuagiza kompyuta, ukiona hivyo katumwa huyo
aina, processor speed, ram uwezo wa kufanya na kukubaliana na software mbalimbali muhimu nk
Specification::Unataka computa yenye uwezo gani.
Specifications(vigezo) muhimu:
Speed:Hii ni spidi ya kufanya kazi ya computer yako,hii ipo measure na Mhz,jinsi Mhz zinapokua kubwa na ndio processing spidi inakua kubwa,that means ukiclick program or file ni mda gani litatumia kufunguka:::based on speed unatapata komputa ya pentium 1 mpaka pentium 4 na sasa tuna pentium M na Pentium D...Mwambie akupe computer Pentium 4.
RAM:Hii ni memory ambayo inakuwezesha kufanya kazi(kurun program) kwenye computer kadiri RAM inavyozidi kua kubwa that means unaweza kuplay music,kuandika work,kurun internet expoler,unaweza pia ukaweka timer etc chagua computer yenye RAM kubwa mwambie RAM iwe 1GB
3.Hard Disk
Hard disk hii inatumika kuifadha programs file pia na docs zako mwenyewe mwambie akupe computer pentium 4 yenye ram 1GB na Hard disk ya 160GB,hard disk kubwa pia inakuwezesha kua na virtual memory kubwa
nimsaidie kuuliza
1. aina gani ya kompyuta, maana kuna compa,dell, ibm nk
2. hard disc nyingine hukrash mapema, achukue aina gani
3. ili ikubali software kama office 2007, 2010, plug and play, icheze movie bila kustack stack nini muhim hapo?
kama unavyojua wachina wamejaa, na bei zake unajua?
nadhan ukisema hap hata mie nimeponea hapo hapo
Hard drive: at least 500GB
RAM: At least 4GB na space ya kuongeza hadi 8GB
Processor: Pentium i3, i5 or above
DVD Burner
+Screen size unayotaka
Hapo itakuwa imekutosha kwa muda mrefu nadhani. Kama unataka ikae muda mrefu nunua maximim possible RAM au nafasi ya kuongeza iwepo.
“Society is like a stew. If you don't stir it up every once in a while then a layer of scum floats to the top.”
king umenisaidia sna na wadau wengine, bdo jambo moja, aina ya kampuni na za wachina nikwepeje, bei zake zinarange ngapi, na kwa dsm inapatikana wapi
PC Specification
• Intel or AMD Processor Model No
• 2 GB SDRAM
• 160GB Hard Drive
• 48X Max CD/DVD Drive
• 17” Flat Screen Colour Monitor
• Integrated Graphics Card
• Microsoft Windows XP Pro
Hizi ni sawa na kusema
Processor Information
The processor is the ‘brain’ of the computer
and controls most of the work done
Memory Information
RAM (Random Access Memory) is the
working memory the computer has
available to do work
Hard Drive Information
The hard drive is a central storage area for
the programs being run and the documents
or assets created
Other Information
Includes information about the sound and
graphics capability of the computer, as well
as details of the monitor, operating system
and software that come with the computer
Follow Us Here