Baada ya kuinunua kampuni ya Meebo, Google wameamua kusitisha huduma zake za Meebo Messenger.
Huduma zitafungwa rasmi July 11th 2012, hii ni pamoja na Mobile Apps zote za Meebo.

https://www.meebo.com/