Support JamiiForums and Become a 'JF Premium Member' | Click HERE for Details
    Show/Hide This

    Topic: Ulimwengu wa fta sattelite tvs

    Report Post
    Page 2 of 19 FirstFirst 123412 ... LastLast
    Results 21 to 40 of 361
    1. #1
      Arselona's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 13th January 2011
      Location : mzumbe-morogoro
      Posts : 344
      Rep Power : 495
      Likes Received
      80
      Likes Given
      4

      Default ULIMWENGU WA FTA SATELLITE TVs: DARASA/MASWALI/ MAJIBU

      Habari jf. Baada ya tathmini ya muda mrefu kuhusu masuala ya sat tvs na jinsi wa2 wanavyohangaika kutwa kucha kutafuta elimu hiyo, nimeona mimi nami kuanzisha mada hii ili niweze kuwafahamisheni kidogo ninachoelewa kuhusu masuala ya sat tv. Kwa uzi huu utajishughulisha zaidi na sattelites gani zinapatikana maeneo ye2, jinsi ya kuweka sat dishes na sizes zake. Aidha nategemea kupata maswali kutoka kwenu ili niweze kutoa majibu. Mijadala imefunguliwa rasmi.
      Last edited by Arselona; 19th October 2012 at 11:23.

    2. #21
      sijui nini's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 29th September 2010
      Location : home
      Posts : 1,751
      Rep Power : 7641
      Likes Received
      501
      Likes Given
      449

      Default Re: Ulimwengu wa fta sattelite tvs

      mkuu embu endelea basi na hili somo kwa utaratibu mzuri basi maana na mimi dish langu ft6 lipo kama pambo tu, hamna linachoonyesha, nimehangaika wee wapi..kila fundi nnayemtafuta ananipiga kalenda tu..nipo mkoani!! hapo uliposema pima cm30 kutoka nguzo inapoishia embu elezea vizuri basi kivipi??
      "Every person tells minimum 4 lies per day i.e. approx 1460 a year!! & the most common lie is "I m fine"!

    3. #22
      bung'a's Avatar
      Member Array
      Join Date : 7th May 2012
      Posts : 73
      Rep Power : 373
      Likes Received
      6
      Likes Given
      0

      Default

      Quote By Elai
      Dish langu ni la futi 6, LNBF ni C-Band, Receiver ni media Com MFT 910+New. Nilifanikiwa ku-install local channels ITV(na ndugu zake), Star TV,TBC1. Tatizo radio zake sizipati? Pili, nimenunua LNB ya pili C-Band, naomba kanuni za kuifunga na frequency zilizo upande mmoja na aljazeera. Tatu, ninashindwa kupata channel ten. Ahsante.
      kuna mediacom ambazo hazina progam ya radio ambayo ina taa nyekundu bila shka ya kwako ipo hivyo

    4. #23
      Elai's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 26th May 2011
      Posts : 136
      Rep Power : 435
      Likes Received
      6
      Likes Given
      1

      Default

      Quote By bung'a
      kuna mediacom ambazo hazina progam ya radio ambayo ina taa nyekundu bila shka ya kwako ipo hivyo
      Ninashukuru kwa wazo hili. Ila ya kwangu ina taa ya orange.

    5. #24
      Arselona's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 13th January 2011
      Location : mzumbe-morogoro
      Posts : 344
      Rep Power : 495
      Likes Received
      80
      Likes Given
      4

      Default Re: Ulimwengu wa fta sattelite tvs

      Nilishawahi kutumia tumia mediacom 910 new receiver, yenyewe ina sapoti radios.chagua channel mfano tbc1 na bonyeza kitufe cha audio,chagua audios zinazoonekana.

    6. #25
      Elai's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 26th May 2011
      Posts : 136
      Rep Power : 435
      Likes Received
      6
      Likes Given
      1

      Default

      Quote By Arselona
      Nilishawahi kutumia tumia mediacom 910 new receiver, yenyewe ina sapoti radios.chagua channel mfano tbc1 na bonyeza kitufe cha audio,chagua audios zinazoonekana.
      Ninashukuru sana mkuu, nimefanikiwa. Nilikuwa ninapitia sehemu isiyosahihi.

    7. #26
      Arselona's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 13th January 2011
      Location : mzumbe-morogoro
      Posts : 344
      Rep Power : 495
      Likes Received
      80
      Likes Given
      4

      Default Re: Ulimwengu wa fta sattelite tvs

      Quote By Arselona
      Samahani sana ndugu zangu nilikuwa tatizo la kiufundi modemu yangu iliharibika kuniwia vigumu kidogo kuwa online. Aidha iliniwia vigumu kutumia simu yangu. Sasa tatizo limekwisha leo na nimerudi tena maeneo angalau umeme si jambo la anasa tena. bila shaka zoezi nililowapa la kuzizoea receivers/decoder zenu limekamilika. kwa hiyo kesho mjiandae kwa somo la kuinstall satellite intelsat 906 cband (zinzpopatikana tvs za bongo).Vifaa vinavyohitajika ni receiver, ungo wa cband ft6+, lnb cband, cable wire, cable pins, spanners na ruler. 2taonana kesho, byeeeeeeeeeeeeeeee
      Bila shaka mmekusanya vitu vyote nilivyoainisha hapo juu, sasa twende kazi.Unganisha ungo wako vizuri na hakikisha pale utakapoliweka pako level,umewaka kisabuni (neflon) kwenye cband lnb na uifunge kwenye dish vizuri, weka pins kwenye cable na ncha moja iungwe kwenye lnb na nyingine kwenye receiver.Fungua receiver yako na uweke tp hizi 3642 H 8545(kama cable imeungwa vizuri utaona mstari mwekundu kwenye screen yako).Elekeza ungo wako kuelekea mashariki (angalia ungo wa jirani yako).Kwa kutumia rula yako pima nguzo ya nyuma ya ungo 25-30cm weka alana fix kwa kutumia screw inayoonekana hapo.Tuanze kuzungusha ungo,anza kwa kuzungusha kitako cha ungo na wakati unafanya hivyo hakikisha unaangalia kwenye screen yako,utaona ule mstari mwekundu unaongezeka asilimia na acha kuzungusha pale utakapojiridhisha kuwa mstari mwekundu hauongezeki tena.Sasa rudi kwenye ile screew nyuma ya dish ifungue na elevate or lower dish lako, utafika pointi ambayo utaona kuna mstari mwingine wa kijani umetokea.hapo utakuwa umeipata satellite ya intelsat906 scan kupata channels zako za IPP Media. ukiona haijatokea mistari hiyo toa H na weka V na urudie zoezi lako.Nakaribisha mijadala.
      Last edited by Arselona; 14th July 2012 at 19:40.

    8. #27
      twatwatwa's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 19th September 2011
      Posts : 881
      Rep Power : 568
      Likes Received
      101
      Likes Given
      3

      Default Re: Ulimwengu wa fta sattelite tvs

      Hiyo sat ya w3c 16 e bem yake inafika hapa bongo ? Je dish saizi gani ?

    9. #28

      mkuu mi nimekupata vizuri , sasa hapo unapopima cm 30 kwenye nguzo ya nyuma...ni ipi? ile inayotoka juu kuingia ndani au ile ya chini na unapimia kutoka juu kwenda chini au chini kwenda juu?? msaada pliiiz mkuu kwa hilo!! mi nimeshajaribu sana hivyo ila (ingawa hapo kwenye kupima tu ndo bado kunanitatiza)..na nilifanay kama hivi: baada ya kuunga kila kitu sawa nikafungua receiver kama ulivyosema na kweli nikaona huo mstari mwekundu na nimejaribu kuzungushazungusha dish mpaka ikafika ukawa unafika hadi 75%, kutokea hapo kila ninavyojaribu kupandisha a kushusha dish (elevation) ili nipate kuona huo wa kijani hamna kitu..!! satellite nimeselect hiyo ya intelsat 906 na kile kipande nimeweka kwenye lnb na kimekaa vizuri tu... ila kuna sehem moja tu ambayo nikitoa hiki kipande kwnye lnb na nikiselect satellite ya asia (105) sijui afu nikizungusha dish kuna mahali napata huo wa kijani na nikiscan napata aljazeera na chanel 2 za kihindi tu na nyingine za kihindi pia ila scrambled, na nikirudshia kile kipande zinapotea zote(no signal) ...sijui nakosea wapi??
      Arselona likes this.
      "Every person tells minimum 4 lies per day i.e. approx 1460 a year!! & the most common lie is "I m fine"!

    10. #29
      Arselona's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 13th January 2011
      Location : mzumbe-morogoro
      Posts : 344
      Rep Power : 495
      Likes Received
      80
      Likes Given
      4

      Default Re: Ulimwengu wa fta sattelite tvs

      Quote By sijui nini

      Kaka naona umeanza kunielewa. Naomba u2mie hiyo asiasat105 kupata chaneli za bongo.Ikamate kwanza hiyo aljazeera, halafu kiweke kile kisabuni kwenye lnb, weka tp hizi 3642 H/V 8545 fungua ile screw iliyoko nyuma ya ungo na lower dish lako kidogo sana kwa angalau 4cm kupata signal. Unaweza substitute H for V. (unapopima cm 30 kwenye nguzo ya nyuma...ni ipi?) Ni ile ya juu na upime kutoka juu na ufungie screew pale utakapowekea alama
      Kimox Kimokole and sijui nini like this.

    11. #30
      Arselona's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 13th January 2011
      Location : mzumbe-morogoro
      Posts : 344
      Rep Power : 495
      Likes Received
      80
      Likes Given
      4

      Default Re: Ulimwengu wa fta sattelite tvs

      Quote By twatwatwa
      Hiyo sat ya w3c 16 e bem yake inafika hapa bongo ? Je dish saizi gani ?
      upo lacation gani kaka? W3C inapatikana vizuri sana kwa offset dish la angalau 75cms. Sijui jinsi ya kuposti pics tu ningekupostia beam hapa na pics mbalimbali za aligments za nyungo(naomba mnipe somo)

    12. #31
      sijui nini's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 29th September 2010
      Location : home
      Posts : 1,751
      Rep Power : 7641
      Likes Received
      501
      Likes Given
      449

      Default Re: Ulimwengu wa fta sattelite tvs

      Quote By Arselona
      Kaka naona umeanza kunielewa. Naomba u2mie hiyo asiasat105 kupata chaneli za bongo.Ikamate kwanza hiyo aljazeera, halafu kiweke kile kisabuni kwenye lnb, weka tp hizi 3642 H/V 8545 fungua ile screw iliyoko nyuma ya ungo na lower dish lako kidogo sana kwa angalau 4cm kupata signal. Unaweza substitute H for V. (unapopima cm 30 kwenye nguzo ya nyuma...ni ipi?) Ni ile ya juu na upime kutoka juu na ufungie screew pale utakapowekea alama
      shukrani sana kaka, umeniokoa sana..hivi nikitoka tu kwa ofisi nikifika kitu cha kwanza ndo hiyo kazi...hopefully nitaleta majibu kesho!! i hope it will work...thank u sana!
      "Every person tells minimum 4 lies per day i.e. approx 1460 a year!! & the most common lie is "I m fine"!

    13. #32
      twatwatwa's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 19th September 2011
      Posts : 881
      Rep Power : 568
      Likes Received
      101
      Likes Given
      3

      Default

      Quote By Arselona
      upo lacation gani kaka? W3C inapatikana vizuri sana kwa offset dish la angalau 75cms. Sijui jinsi ya kuposti pics tu ningekupostia beam hapa na pics mbalimbali za aligments za nyungo(naomba mnipe somo)
      morogoro

    14. #33
      bung'a's Avatar
      Member Array
      Join Date : 7th May 2012
      Posts : 73
      Rep Power : 373
      Likes Received
      6
      Likes Given
      0

      Default

      Quote By sijui nini
      shukrani sana kaka, umeniokoa sana..hivi nikitoka tu kwa ofisi nikifika kitu cha kwanza ndo hiyo kazi...hopefully nitaleta majibu kesho!! i hope it will work...thank u sana!
      kaka lakini ujue kupata chanel za ipp sio kazi. Shuhuli ipo kwenye star na ch.ten

    15. #34
      Arselona's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 13th January 2011
      Location : mzumbe-morogoro
      Posts : 344
      Rep Power : 495
      Likes Received
      80
      Likes Given
      4

      Default

      Quote By twatwatwa
      morogoro
      kaka hata mi niko moro mzumbe chuo kikuu.

    16. #35
      twatwatwa's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 19th September 2011
      Posts : 881
      Rep Power : 568
      Likes Received
      101
      Likes Given
      3

      Default

      Quote By Arselona
      kaka hata mi niko moro mzumbe chuo kikuu.
      hiyo safi mkuu. Sasa nimwagie sat zote zinanoweza kushika hapa isiwe hizi za kawaida mkuu ninao utaharamu wa kuzitafuta kwa dish aina yoyote

    17. #36
      Sambuka's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 28th October 2011
      Posts : 202
      Rep Power : 426
      Likes Received
      19
      Likes Given
      0

      Default Re: Ulimwengu wa fta sattelite tvs

      Mi hizo startv, nmezkosa bana, almanusra nivunje kiuno juu ya bati!
      Hivi upande wa kulia au kushoto wa Cband nikiweka lnb tapata channel zipi kwa position hii ya locol tvs?

    18. #37
      bung'a's Avatar
      Member Array
      Join Date : 7th May 2012
      Posts : 73
      Rep Power : 373
      Likes Received
      6
      Likes Given
      0

      Default

      Quote By Sambuka
      Mi hizo startv, nmezkosa bana, almanusra nivunje kiuno juu ya bati!
      Hivi upande wa kulia au kushoto wa Cband nikiweka lnb tapata channel zipi kwa position hii ya locol tvs?
      kaka alafu ujue receiver za cku hizi ni kimeo mfano mimi natumia media com 910plus haina shida kabisa ni za zamani cku hizi hakuna.na nikiitoa nikifunga 910new ni shida kwenye star na zingine pia 930 ni tabu mwanzo mwisho

    19. #38
      Sambuka's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 28th October 2011
      Posts : 202
      Rep Power : 426
      Likes Received
      19
      Likes Given
      0

      Default Re: Ulimwengu wa fta sattelite tvs

      Hivi zinazofungua scramble ni receiver za aina gan hizo?

    20. #39
      punainen-red's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 18th November 2010
      Posts : 1,737
      Rep Power : 857
      Likes Received
      390
      Likes Given
      19

      Default Re: Ulimwengu wa fta sattelite tvs

      Je kuna channel zozote za fta zinazoonyesha mechi za mpira wa ngazi yoyote kutoka South America? Kama zipo ni kwenye satellite gani na frequency zipi?

    21. #40
      chief-mkwawa's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 25th May 2011
      Posts : 3,519
      Rep Power : 1659
      Likes Received
      1042
      Likes Given
      0

      Default

      Quote By punainen-red
      Je kuna channel zozote za fta zinazoonyesha mechi za mpira wa ngazi yoyote kutoka South America? Kama zipo ni kwenye satellite gani na frequency zipi?
      Mimi sijui kutengeneza ila kitu kipo mtaani na watu wanafanya dishi la kawaida unaingiza software katika receiver (media com). Unaingiza na cable chungulia nyuma ya receiver utaona hio sehemu. Ukishaingiza hio software chanel za aljazeera zitaongezeka utapata aljazeera sport zote.

      Aljazeera sport inaonesha mipira yote ya south america na pia kuna tetesi mwakani wakaonesha ligi ya uingereza kwa kuwapokonya licence abudhabi sport

    Page 2 of 19 FirstFirst 123412 ... LastLast

    User Tag List

    Posting Permissions

    • You may not post new threads
    • You may not post replies
    • You may not post attachments
    • You may not edit your posts
    •  

    Who are WE?

    JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

    You are always welcome! Read more...

    Where are we?

    We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

    For anything related to this site please Contact us.

    Contact us now...

    DISCLAIMER

    JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

    Read more...

    Forum Rules

    JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

    You MUST read them and comply accordingly. Read more...

    Privacy Policy

    We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

    Read our Privacy Policy. Proceed here...