Wakuu, hebu tudadavue kidogo hili swala!
IPAD 3 na ASUS TABLET COMPUTERS zina tofauti gani? bora ni ipi? Zinaweza kulinganishwa au kutofautishwa vipi katika katika ubora, utendaji, nk
Ikiwa mtu ana uwezo wa kununua yoyote kati ya hizo ungemshauri anunue ipi na kwa sababu zipi?
Najua hapa JF nitapata elimu ya kutosha kuhusu swala hili
Natanguliza shukrani!

Reply With Quote
inside them that I don't trust." Stella (the Italian Job)
If you love something, set it free; if it comes back.....its yours,... 


Follow Us Here