Ipad ndo kiboko ya yote! Tatizo watu wengi wanajaki quantity rather than quality, nimetizama games za android ni ovyo graphics zake, zinaboa kichizi, lakini graphics za iphone, zipo sooo coool! Kisha hata apps zake, zipo bomba, yani zinavutia, android ni boring sana tena sana! Kitu chengine kilicho kizuri ni IOS, kama Linux ilivokuwa adblvanced basi ndivyo ilivyo ios, lakini android ni sawaa na windows, full vidudu!
Sema tablets zilikua ziwe another choice of laptop. Yaani mtu kama hutaki desktop basi unanaunua laptop na kama hutaki laptop ununue tablet lakini laptop na tablet ni vitu tofauti but desktop na laptop fifference yao ni portability tu. hii mi tablets ni kama anaother form of big phones! Kama lile SAMSUNG GALAXY NOTE, yani mpaka wao hawajui waliite nini wameishia kutangaza "tablet? Phone?"
Follow Us Here