Wenye ujuzi wa option 3 anipe tutorial, simu inaleta 3 options ikiwa connected to PC.
Mass storage
Web Camera
COM Port
Wenye ujuzi wa option 3 anipe tutorial, simu inaleta 3 options ikiwa connected to PC.
Mass storage
Web Camera
COM Port
Simu yako ni Model fani? je in uwezo wa ku-Act kama Access Point??
Never Judge any one because you never know how their life is and what they are going through
hzo ya kichioa kaka orijino nayo ina option tatu mediaplaya, mass stosage na pc suite ambayo unaconect kwenye pc kibaya zaid hiyo cm yako haina 3g wala wifi blv dat
hzo ya kichina kaka orijino nayo ina option tatu mediaplaya, data transfer na pc suite ambayo unaconect kwenye pc kibaya zaid hiyo cm yako haina 3g wala wifi blv dat
Embu ichunguze kama kweli ni NOKIA ORIGINAL. Kama sio basi tafuta Nokia Original ambayo unaweza ukatumia kama moderm harafu urudi kuomba msaada.
ili utumie simu kama modem inabidi uwe na pc suite yake. Kama ni nokia inabidi iwe na nokia pc suite. Eka cd ilokuja na simu utaipata
Hii ninayotumia haina CD yake. Imetengenezwa na G'BEST & MBO.
But why isiweze while COM Port ni ya kazi hiyo!
Com port sio tatizo. Tatzo n kwamba uwe na hyo software. Maana huwez kufungua kwanza browser kama pc suid bado haija conect mobile na pc. Nenda google na uitafute pc suite ukishindwa tafuta m2 mwenye nayo u coppy. Then ujue kuwa pc suit ina umuhmu sana kwan waweza ku update software ya nokia yako kupitia hyo. Pia unaweza send sms na kupiga cmu kupitia hyo.
kuna jamaa alishawahh kuwa na cm ya kichina design iyo alifanikiwa kakin top speed ya voda kwenye idm with full network ilkua inabahatisha 20 kb/s mana mchina hakuspecialze sana kwenye speed kanunue modem 25000 uenjoy top speed hata 600 kb/s
Thank you all!
Help appreciated so much!!
mi nna nokia C7.. inanizingua kuconnect net kwenye my laptop through nokia pc suite... inasema hairecognize modem device though ikiwa data transfer or mass storage inakubali uzuri tu
PLZ HEEEEEELP
Last edited by vanmedy; 10th June 2012 at 20:52.
M yangu nokia2330c-2,net inafunguka lakini nikidownload inagoma ikionesha (invalid web)
Wapi MziziMkavu na Chief Mkwawa WATUPE MAUFUNDI HAPA
REALLY! tuombe our geeks & gurus wasije ondoka humu JF! More respect to these guyz na wenye kufanana nao!!!
Ukiwa na Nokia nzuri si lazima uwe na PC Suite ku-connect kwenye internet. Unaweza kutumia software ya Joikuspot kugeuza simu yako kuwa Wi-fi hotspot na hivyo kupata internet wireless connection. Free version mtu yeyote aliye karibu anaweza kufanya connection kupitia simu yako ila ya kununua unaweka password.
Download na install kwenye Nokia yako. Hakuna hata haja ya kununua Modem ila inabidi simu yako iwe ipo kwenye chaja kwani inakula chaji ya betri sana na simu hupata joto.
Follow Us Here