Jamani game la drafti naezapata web gan?nipe link kama unaijua.help??
Jamani game la drafti naezapata web gan?nipe link kama unaijua.help??
taja jina na aina ya device unayotaka hilo game liwe installed
jaribu link hii
http://zinkwap.net/Games/file.php?p=...20).jar&sort=1
vipi kuhusu windows PC? unaijua game nzuri ya draft:?
Praise the LORD, O my soul; and all that is within me, bless His holy name!
hilo bado. hebu nitupie link yake please
Praise the LORD, O my soul; and all that is within me, bless His holy name!
Mkitaka kucheza online na watu real jaribuni yahoo games ( Nendakwenyeboardgames )ila mi napenda draft ya PlayOK - Free Online Games (ex Kurnik)
NB
Vigezo ni bandwidth ya internet kutumika
Tazama michezo live katika gym nayotumia kukuzia misuli ya IT- http://teknohama.x10.mx/live-sports/
mie nalijua moja lina kama aina tatu za draft. sheria tofauti. zile sheria za kibongo ni la tatu kutoka juu au la pili kutoka chini kwenye option ya kuchagua sheria za mchezo. ni zuri lakini nalifunga sana. kama kuna mtu analijua lenye algorithm kali ndio naliomba. you can check this Damas Master 5.8.1 + 3 Chave de Reg.rar - 4shared.com - online file sharing and storage - download - Antonio
Praise the LORD, O my soul; and all that is within me, bless His holy name!
Independent thinker
Humu jf baadhi yetu wametengeneza haki miliki ya they way they think, you have to think like them and have drawn a line of where one has to belong, you are either "with us" or "against us", if you don't sail the same boat then you are an enemy!. -Pasco wa JF
JAMANI na YA ANDROID YANAPATIKANA MITAA GANI AU NIDONDOSHEENI JINA
game la draft lnatofautiana. Kuna chess na checkerz na pia kuna france. Hl la chess lnakua na king napia kuna queen. France ndo lle unakula mpaka kete ya nyuma. Af chekerz ndo lakibongo hli.
jina draft ni sawa kabisa ila mnaliandika kibongo sana. jina lenyewe ni draught na ni b/eng wakati checkers ni am/eng
"I am doing that which I cannot do, in order that I may learn how to do it." -Picaso
"I trust everybody, it's the inside them that I don't trust." Stella (the Italian Job)
Hahahahah!
"The usual conclusion is that you can't put a price on a human life. But you can if you must".
Bs 2peni links washkj
Ok nime attach DRAFT la pc ENJOY ya ukwl sana coz ni gumu usipime LOL.. na iko set kula mbele na nyuma (FRENCH) but unaweza cheza na settings kubadili gudluck maana iyo lugha mmh.. ooh na wale wanaotaka ile DRAFT nyigine ile hehe pm me..
scratch here ▒▒▒▒▒▒▒▒▒▒▒▒▒▒ to reveal my signature
Follow Us Here