How 2 activate my facebook account, pliz help me people
How 2 activate my facebook account, pliz help me people
embu funguka zaidi ueleweke, activation????????
Nna wasi wasi sjui hio facebook kama utaweza tumia, usiiogope technology kaka.
Kama ulitumia email kufungua facebook ina maana kuna link imetumwa kwenye email unachotakiwa ni kulogin kwenye email yako then kwenda inbox halafu fungua email toka facebook hapo utakua na option mbili either kuclick link ya activation au kucopy activation code na kuipaste facebook.
Kama ulitumia simu activation code/link itakua imetumwa kwenye namba ya simu unacotakiwa na kuclick link au kukopy code na kupaste fb
Kama uli-deactivate account yako, log in kwa password yako kama kawaida na itakuwa activated.
ONE LOVE. ONE DESTINY. ONE SAVIOUR. JAH BLESS!
Huwa na log in lakini inagoma it says i should comfirm my account
Is facebook the necessary evil?
The glory of Christianity is to conquer by forgiveness - William Blake
People still it didn't work out, help again
Follow Us Here