Naomba msaada namna ninavyoweza kumtumia mtu email au kupost humu ndani nikiwa nimeweka link na mtu akibofya anakuwa directed kwenye site husika
Naomba msaada namna ninavyoweza kumtumia mtu email au kupost humu ndani nikiwa nimeweka link na mtu akibofya anakuwa directed kwenye site husika
KIKWAZO CHA MAENDELEO NI 'MCHAKATO"
Cheki huu mfano hapa
(url="www.jamiiforums.com") HAPA (/url)
then hapo kwenye mabano ya ( ) badili yawe [ ]
hapo ningeweka moja kwa moja mabano ya [ ] ucngeona,
badala yake ungeona neno HAPA hlf hilo neno litakuwa highlighted na ukilibonyeza lingekupeleka jamiiforums
nadhani nime eleweka jaribu then uniweke hapa nione kama umeweza!
Tchao
HAPAZuia Sayayi;3771118]Cheki huu mfano hapa
(url="www.jamiiforums.com") HAPA (/url)
then hapo kwenye mabano ya ( ) badili yawe [ ]
hapo ningeweka moja kwa moja mabano ya [ ] ucngeona,
badala yake ungeona neno HAPA hlf hilo neno litakuwa highlighted na ukilibonyeza lingekupeleka jamiiforums
nadhani nime eleweka jaribu then uniweke hapa nione kama umeweza!
Tchao
nashukuru mzee kama sijakosea manake niko majaribioni
KIKWAZO CHA MAENDELEO NI 'MCHAKATO"
Mkuu zuia sayayi nashukuru nimeiva
KIKWAZO CHA MAENDELEO NI 'MCHAKATO"
[www.mwananchi.co.tz] hapo mimi sielewi kabisa naomba msaada zaidi
(fredric tembo)
angalia hii HAPA
Even just with (url)LINK(/url) kama kawa kwenye mabano haya "( )" weka [ ]
hapa
.............................. ...............
There are some people who could hear you speak a thousand words and still not understand you. And there are others who will understand—without you even speaking a word.
(url=\"www.yahoo.co.uk")Don(/url)
bagah habari yako mkuu! (najaribu)
kwa habari zaidi bonyeza HAPA nashukuru hata mimi wa kijijini nimeelewa
HAPA jamani najaribu
Follow Us Here