Naomba msaada namna ninavyoweza kumtumia mtu email au kupost humu ndani nikiwa nimeweka link na mtu akibofya anakuwa directed kwenye site husika
Naomba msaada namna ninavyoweza kumtumia mtu email au kupost humu ndani nikiwa nimeweka link na mtu akibofya anakuwa directed kwenye site husika
KIKWAZO CHA MAENDELEO NI 'MCHAKATO"
<a href="http//tubidy.com">hapa</a>
[/www.facebook.com]
Dah plz jaman me cjaelew fresh nimetest mara kibao bt imezingua!vp hvo vialama?
chrisman49
Kama njia waliyokupa wadau hapo juu inakuwa ngumu kwako kuielewa kuna njia nyingine iangalie inaweza kukusaidia
Ingia HAPA na usome post #2 imeandikwa na Mwali, ukiyaelewa maelekezo hayo na kufanikiwa usisahau kumgongea like Mwali
{Sio vibaya na Cookie naye ukimgongea like. }
Hi Cookie...
Last edited by Roulette; 18th May 2012 at 22:49.
Great spirits have always encountered violent opposition from mediocre minds
Albert Einstein
Hi Mwali !
Mambo vp? ohh kabla RussianRoulette na jeshi lake hawajani ban kwa kuchakachua mada
Back to the topic
Vipi na wewe unatatizo kama la huyo Mwanzisha Mada? soma post #2 HAPA
chrisman49
Mbona hujarudi kusema kama umefanikiwa tatizo lako la kumpa mtu link?
RussianRoulette
ca va? mbona siku kule darasa sioni kitu?
LAA ILAHA ILLALLAH MUHAMMADUR RASULULLAH
NIKO KATIKA MAJALIBIO
HOME of GREAT THINKERS
ngoja nami ni try [www.jamiiforums.com]
Sasa somo limeeleweka, many thanks to Mwali and Cookie then please, tembeleeni HUMU
LAA ILAHA ILLALLAH MUHAMMADUR RASULULLAH
But hii inafaa pia kwa blackberry?
Hebu na mimi. Hapa[www.jamiiforums.com]
kamata dude HAPA
Follow Us Here