Kuna Domain nilitaka kuitumia ila kuna mtu ameisajiri na wala hajaweka chochote....SHHHHIIIIITTTT!!!
>>>>>> www.shopping.co.tz
Kuna Domain nilitaka kuitumia ila kuna mtu ameisajiri na wala hajaweka chochote....SHHHHIIIIITTTT!!!
>>>>>> www.shopping.co.tz
Last edited by Benzoic; 23rd April 2012 at 19:24.
Hata babu alikuwa kaka.
miafrika ndio waga ya hivyo apo atakuwa anataka akuuzie..
Sasa mkuu umeshamuita lijimtu, unategemea atakupa au kama alipanga kuuza kwa bei poa si ataongeza bei ili akukomoe...?Busara ni muhimu hususan kwenye bargaining ukizingatia kama ni panga wewe umeshika kwenye makali lijimtu limeshika kwenye mpini
Opportunities Multiply as they are Seized Sun Tzu
atapatikana tuu nakumbuka kuna teknik fulani unafanya kwa CMD then utajua Domain hiyo ime hostiwa wapi...ukishapata tu unavamia kama torabola na kuchomoa Cpanel yote....
Hata babu alikuwa kaka.
Nimepata jamaa kai HOST LiquidNet....daah mbali kichizi
Hata babu alikuwa kaka.
tafuta ya kwako,kwani wakati yeye anailipia wewe ulikuwa wapi? ulitaka domain ikae kukusubiri wewe? acha uvivu wa kufikiria basi tumia hii
IHAM Solar Suppliers
"The person who says it cannot be done should not interrupt the person doing it."
wala huitaji kufanya kwa CMD unatumia Whois tu utaanza kupata taarifa za muhusika
domain: shopping.co.tz
registrant: OG1-TZNIC
admin-c: OG1-TZNIC
nsset: NS-SHOPPING
registrar: REG-TZNIC
status: paid and in zone
registered: 23.03.2012 17:47:31
expire: 23.03.2013
contact: OG1-TZNIC
org: Web Technologies (T) Ltd
name: Octavian Godfrey
address: Kisutu Street
address: Upanga
address: Dar es Salaam
address: P.O.Box
address: TZ
phone: +255.714817081
fax-no: +255.222134526
e-mail:
registrar: REG-TZNIC
created: 31.08.2009 06:26:18
nsset: NS-SHOPPING
nserver: dns1.webtechtz.net
nserver: dns2.webtechtz.net
tech-c: OG1-TZNIC
registrar: REG-TZNIC
created: 23.03.2012 17:46:57
jamani yanini yote hayo? fanya tu shopping2012.co.tz tofauti na hapo ni ubabe, hii ni biashara we wahi kufika sokoni.
Mkuu nenda kwenye hii site
Whois Lookup & IP | Whois.net
alafu weka domain name unayotaka kwenye search (kama vile unavyogoogle)...., (its just a search engine for domain name owners / registers
Opportunities Multiply as they are Seized Sun Tzu
jaman naomba niwe tofauti na wengi kidogo.
domain name investment ni kama investment nyingine yoyote, mtu anairegister na kuicha ipate wateja,kwa mfano ukiregister na godaddy.com au yahoo small business wanatoa hyo option ya kuweka na contact zako kama unaiuza, xo mi nadhan kwa kuwa umemjua ni nan (hongera fahari, nakuheshimu sana kwa hili) jaribu kucontact nae muongee business, au register nyingine kama unaweza
by the way imekuwa registered only mwezi mmoja uliopita,kama ni serious website inaweza kuwa kwenye matengenezo
Follow Us Here