
By
Jackie maduhu
FUNDI SIM/wanaopenda kujifunza kutengeneza sim kwa kiwango cha juu.naitwa jackie maduhu nyumban misasi mwanza.bt now niko nchini uganda kimasomo,niko chuoni newcastlehighsky generation.nachukua ICT sky generation,pamoja na phone diagram solution with soft/hardware tech.napenda sana kuwatangazia vijana wenzangu wa kitanzania,kama kuna mtu anahitaji apate upeo wa kutosha kuhusu ufundi sim asijali awe tayari maana nimebakiza mda kidogo sana kutoka hapa jikon. Huu ni utanguliz tu kama upo hapo nipost
Follow Us Here