JamiiSMS
  Show/Hide This

  Topic: AUTOCAD- I want to LEARN !

  Report Post
  Page 1 of 2 12 LastLast
  Results 1 to 20 of 21
  1. smak786110's Avatar
   Member Array
   Join Date : 24th January 2008
   Posts : 93
   Rep Power : 727
   Likes Received
   0
   Likes Given
   0

   Default AUTOCAD- I want to LEARN !

   Where can I LEARN AUTOCAD ?
   Any good institution ?
   Or personal experienced people who can teach ?

   thanks


  2. #2
   Cynic's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 5th January 2009
   Location : Around
   Posts : 4,389
   Rep Power : 85902256
   Likes Received
   972
   Likes Given
   351

   Default Re: AUTOCAD- I want to LEARN !

   Cheki Univ. of Dar (CoET/BICO au UCC). Wakati fulani walikuwa wanaendesha courses za AutoCAD.
   '... Knowledge is good, but wisdom is even better ...'

  3. Sikonge's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 19th January 2008
   Location : Sikonge, Tabora
   Posts : 11,223
   Rep Power : 333938463
   Likes Received
   5046
   Likes Given
   11423

   Default Re: AUTOCAD- I want to LEARN !

   Andika uko wapi ili kujua nani yuko karibu yako anaweza kukuelekeza. AutoCAD ni program ambayo asilimia 70 itategemea wewe mwenyewe utundu wako wa kujua mambo. Ukisubiri kila kitu uelekezwe hutafika mbali na hii ni program kubwa kwa sasa. Itabidi kutafuta kitabu chake. Muombe INVISIBLE akutafutie E-BOOK. Kila la kheri.
   UKAWA O MUERTE--UKAWA AU KIFO--UKAWA OR DEATH

  4. Invisible's Avatar
   Robot Array
   Join Date : 11th February 2006
   Location : Here...!
   Posts : 9,652
   Rep Power : 100000
   Likes Received
   6823
   Likes Given
   11200

   Default

   First Download a book here (at JF), Install the software (there's AutoCAD 2009) then take a month going thru the program and if need certification consult Techno Brain a few metres from your office (as I know )
   Ficha Upumbavu wako; Usiifiche Hekima yako!
   24/7 Email SUPPORT: [email protected]


  5. Kilongwe's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 7th February 2008
   Location : Optical valley-China
   Posts : 426
   Rep Power : 869
   Likes Received
   93
   Likes Given
   15

   Default Re: AUTOCAD- I want to LEARN !

   Nitumie e mail yako nikutumie Complete tuttorial(Video) ya hiyo autocad 2008.Pia kama huna hiyo software mimi ninayo hapa,Nakumbuka kipindi fulani nasoma CCDP ilinisaidia kiasi fulani hizi tutorial ingawa kwa upande wangu ni kijisehemu kidogo mno ndio nilikuwa nakihitaji hivyo sina uhakika sana kama ni baab kubwa ama la lakini kuna jamaa mwingine wa Civil nilimpatia na alinishukuru mno akisema ipo mwake so u can try it Bro.
   Yu willi neva woki eloni.
   Kwa Website Design, Software Development, Hosting Solutions, Email Services - Dudumizi.com


  6. #6
   Kituko's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 12th January 2009
   Posts : 4,978
   Rep Power : 40009826
   Likes Received
   1467
   Likes Given
   689

   Default Re: AUTOCAD- I want to LEARN !

   jamani na mimi siko mbali sana na huyo bwana Kilongwe, nilikuwa naomba msaada wa Manual ya hiyo AUTOCAD

  7. Kilongwe's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 7th February 2008
   Location : Optical valley-China
   Posts : 426
   Rep Power : 869
   Likes Received
   93
   Likes Given
   15

  8. Sikonge's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 19th January 2008
   Location : Sikonge, Tabora
   Posts : 11,223
   Rep Power : 333938463
   Likes Received
   5046
   Likes Given
   11423

   Default Re: AUTOCAD- I want to LEARN !

   Kilongwe, check PM. Nimekutumia email. Ntahitaji hiyo Video tu maana program ninayo.
   UKAWA O MUERTE--UKAWA AU KIFO--UKAWA OR DEATH

  9. smak786110's Avatar
   Member Array
   Join Date : 24th January 2008
   Posts : 93
   Rep Power : 727
   Likes Received
   0
   Likes Given
   0

   Default Re: AUTOCAD- I want to LEARN !

   thanks guys...
   na shukuru for all your kind replies...

   Naomba hii tutorials and program pia.... nime kuu PM email yangu...

   SHUKRAN...

  10. Invisible's Avatar
   Robot Array
   Join Date : 11th February 2006
   Location : Here...!
   Posts : 9,652
   Rep Power : 100000
   Likes Received
   6823
   Likes Given
   11200

   Default

   Yani nawashangaa, mbona hiyo Video ya Training ya AutoCAD ipo hapa JF? Au mpaka mtumiane kwa Email?

   Yani sielewi, ni lazima kutumiana emails? Am out of this!
   Ficha Upumbavu wako; Usiifiche Hekima yako!
   24/7 Email SUPPORT: [email protected]


  11. Buswelu's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 16th August 2007
   Location : Lake Victora Gold Field.
   Posts : 1,959
   Rep Power : 1127
   Likes Received
   223
   Likes Given
   157

   Default Re: AUTOCAD- I want to LEARN !

   Quote By Invisible View Post
   Yani nawashangaa, mbona hiyo Video ya Training ya AutoCAD ipo hapa JF? Au mpaka mtumiane kwa Email?

   Yani sielewi, ni lazima kutumiana emails? Am out of this!
   Invisible Subiri kwanza...ni kwamba uwezo wetu wa kusearch video hiyo ni mdogo...weka link nishushe....Kilogwe...ana link zake za kichina...za mpaka 5GB ndio maana huwa anaogopa au wasiwasi weka hapa kulingana pengine na permision katika kila site....hana nia mbaya...au kuficha...kama mie naweza shusha kwa uharaka bongo....sina hiyana kama mtu atawasiliana nami na mie kumtumia katika location aliyopo...

   Pili wengine uwezo wa kushusha video kama hizo offisini ndio maali pekee...lakini kwa hizi net zetu za kwenye simu...inaweza kula kwako.So tunasaidia hivyo hivyo kila mtu anapata...chochote kipatikanacho....

   Tunaomba link hiyo mkuu....
   Regards
   Buswelu
   Live Life so Well That even Death Loves to see you Alive.

  12. Shy's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 2nd November 2006
   Posts : 4,896
   Rep Power : 0
   Likes Received
   120
   Likes Given
   0

   Default Re: AUTOCAD- I want to LEARN !

   Hizo ni taaluma za watu bora waachie wenye taaluma zao wafanyie kazi na wewe jiendeleze katika taaluma yako sio mtaka kujua mengi huo ndio ushauri wangu

   hiyo ni profesional ya watu wengine

  13. Sikonge's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 19th January 2008
   Location : Sikonge, Tabora
   Posts : 11,223
   Rep Power : 333938463
   Likes Received
   5046
   Likes Given
   11423

   Default Re: AUTOCAD- I want to LEARN !

   Quote By Shy View Post
   Hizo ni taaluma za watu bora waachie wenye taaluma zao wafanyie kazi na wewe jiendeleze katika taaluma yako sio mtaka kujua mengi huo ndio ushauri wangu

   hiyo ni profesional ya watu wengine
   Shy,
   AutoCAD siyo taaluma ya watu. Ni kitu ambacho kila mtu kama una nafasi basi waweza kujifunza hata ile basic tu. Ndani ya hii program kuna matumizi katika fani nyingi sana za Engineering na hata nje ya hiyo. Ila nafikiri kwa wale wote wenye michoro isiyohitaji freehand drawing, basi waweza kujifunza hii. Ndiyo maana wanasema CAD yaani 'Computer Aided Design'.

   Kwa wale ambao unasema ni taaluma yao, hii program na Microstation huwa wanazitumia kama platform tu ya program nyingine. Yaani tuseme wanawasha computer na wanafungua kwanza Windows. Baadaye wanafungua AutoCAD au Microstation. Baada ya hapo ndipo wanafungua tena kiprogram kingine wanachotumia katika kazi zao. Nikisemea ambayo nilishawahi ifanya ni kuwa hapo nawasha program iitwayo INROADS. Ila sasa Inroads (inayotumika katika kuchora barabara) inaweza hata kufanya kazi ndani ya Autocad.

   Hizi program ziko nyingi kwa sasa. Kuna za Madaraja, Reli, Sewage system, Structures, nk. Ukitaka ziona basi waweza watembelea hawa jamaa wa BENTLEY wa USA.

   Hivyo Wandugu, hata kama wewe ni mtu wa electronics, hizo resistance zenu mnaweza kutumia AUTOCAD kuzichora. Na kwa kuwa kuna ZOOM kubwa sana, unaweza kuwa una ZOOM na kuchora hivyo vipande vidogovidogo saana. Pia unaweza kusoma kwa FUN. Uzuri mkubwa wa hii AUTOCAD ni kuwa kuna zile tools na symbol zake ambazo unaweza kuwa unaangalia picha na kujua harakaharaka kuwa wana maana gani.

   Pia waweza kujitengenezea Maktaba ya hiso symbol. Hizi maktaba huwa zinaleta wakati mwingine ugomvi kazini kwani unaweza kujitengenezea na mtu akaja kukuibia. Wengine wanaziuza hizi symbol. Wewe badala ya kuchora, unachukua tu hizo symbo au kwa jina la kitaaluma wanasema "cell" na kuzibandika.

   NB: Naona INVISIBLE KAWEZA tayari link:
   http://www.jamiiforums.com/education...ing-video.html
   Last edited by Sikonge; 13th February 2009 at 11:12.
   UKAWA O MUERTE--UKAWA AU KIFO--UKAWA OR DEATH

  14. Maxence Melo's Avatar
   JF Founder Array
   Join Date : 10th February 2006
   Location : Dar es Salaam
   Posts : 3,038
   Rep Power : 100000
   Likes Received
   1767
   Likes Given
   3001

   Default Re: AUTOCAD- I want to LEARN !

   Nakumbuka wakati nasoma hii Program ilikuwa kwenye version ya AutoCAD 2000, Kisha nikaongeza ujuzi katika AutoCAD 2006.

   Nimeitumia sana tu, na sasa natumia AutoCAD 2009. Inasaidia mno, nadhani kwa anayehitaji kujua kuhusu AutoCAD kwa undani na anataka afundishwe si kwa ajili ya cheti (maana mi sitoi cheti) anaweza kunitafuta kuanzia April na pia ninazo Symbols nyingi tu.

   Ni vema kujifunza ArchiCAD pia kwani iko simplified zaidi ya AutoCAD.

   Nimeshachora ramani zaidi ya 200 kwa AutoCAD lakini ArchiCAD ni presentation nzuri kwa client ambaye hawezi kuelewa mchoro kumpelekea katika 3D view.
   I may not agree with what you have to say, but I'll defend to the death your right to say it!

  15. Buswelu's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 16th August 2007
   Location : Lake Victora Gold Field.
   Posts : 1,959
   Rep Power : 1127
   Likes Received
   223
   Likes Given
   157

   Default Re: AUTOCAD- I want to LEARN !

   Quote By Shy View Post
   Hizo ni taaluma za watu bora waachie wenye taaluma zao wafanyie kazi na wewe jiendeleze katika taaluma yako sio mtaka kujua mengi huo ndio ushauri wangu

   hiyo ni profesional ya watu wengine
   Mawazo mgando....Shy.I beg to differ na wewe...dunia ya sasa unahitaji kuwa multskill kama wewe ni Computer Maintanance,Programming nayo unatakiwa kujua...Database vitu vingi.From personal Note...vimenisaidia sana.

   Na wengine wengi pia...kama una kitu wataka share please weka hapa watu watakukumbuka kwa hilo na sio kwa kukatisha tamaa...unajenga unabomoa?

   Regards
   Buswelu
   Live Life so Well That even Death Loves to see you Alive.

  16. Buswelu's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 16th August 2007
   Location : Lake Victora Gold Field.
   Posts : 1,959
   Rep Power : 1127
   Likes Received
   223
   Likes Given
   157

   Default Re: AUTOCAD- I want to LEARN !

   Quote By Maxence Melo View Post
   Nakumbuka wakati nasoma hii Program ilikuwa kwenye version ya AutoCAD 2000, Kisha nikaongeza ujuzi katika AutoCAD 2006.

   Nimeitumia sana tu, na sasa natumia AutoCAD 2009. Inasaidia mno, nadhani kwa anayehitaji kujua kuhusu AutoCAD kwa undani na anataka afundishwe si kwa ajili ya cheti (maana mi sitoi cheti) anaweza kunitafuta kuanzia April na pia ninazo Symbols nyingi tu.

   Ni vema kujifunza ArchiCAD pia kwani iko simplified zaidi ya AutoCAD.

   Nimeshachora ramani zaidi ya 200 kwa AutoCAD lakini ArchiCAD ni presentation nzuri kwa client ambaye hawezi kuelewa mchoro kumpelekea katika 3D view.

   Kwa watu ambao tunatumia Software ArcGIS 9.2 - 9.3,MapInfo,Micromine,Vulcan,i oGas AutoCad ina file kwenye zenye extension ambayo unaweza kuimport kwenye software hapo juu...na kulingana ma version za software hizi.

   Kuna zingine zinaweza fanya hiki na zingine haziwezi...kwa mfano kuna vitu unaweza fanya kwenye ArcGIS na uka import .shp file kwenye mapinfo na kuendelea na mambo yako...vile DXF file ambazo unaweza kuzitengeza kwenye Vulcan,AutoCAD na kuzi import kwenye Mapinfo,ArcGIS na Micromine,Coral Draw...I

   Inategemea wewe unataka kufanya nini na software ipi ni rahisi kutumia....

   Hope we are together
   Live Life so Well That even Death Loves to see you Alive.

  17. smak786110's Avatar
   Member Array
   Join Date : 24th January 2008
   Posts : 93
   Rep Power : 727
   Likes Received
   0
   Likes Given
   0

   Default Re: AUTOCAD- I want to LEARN !

   Can Autocad help.. in a business of aluminium windows (like) ?

   Like drawing how it will look after installation etc ? au ?

  18. Shy's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 2nd November 2006
   Posts : 4,896
   Rep Power : 0
   Likes Received
   120
   Likes Given
   0

   Default Re: AUTOCAD- I want to LEARN !

   Haya kama sio taaluma za watu jifunze na wewe kwa njia hiyo ya mkato

  19. Kilongwe's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 7th February 2008
   Location : Optical valley-China
   Posts : 426
   Rep Power : 869
   Likes Received
   93
   Likes Given
   15

   Default Re: AUTOCAD- I want to LEARN !

   Wakoloni walipoingia Africa walifanya vitu kama hivi.
   1:Kuziua tamaduni na mila zute na kuziita mila za kichawi na kutuletea mila zao aka(....)
   2:Walijenga mazingira ya kuwafanya baadhi ya watu waliosoma au kupata mwanga wajione wao ndio wapo daraja kubwa zaidi na kutojichanganya na wengine
   3.Kuziteka akili za watu.
   Mwenye macho haambiwi tazama!
   Kwa Website Design, Software Development, Hosting Solutions, Email Services - Dudumizi.com

  20. smak786110's Avatar
   Member Array
   Join Date : 24th January 2008
   Posts : 93
   Rep Power : 727
   Likes Received
   0
   Likes Given
   0

   Default Re: AUTOCAD- I want to LEARN !

   Kilongwe- Asante kwa reply yako.... Very true and interesting


  Page 1 of 2 12 LastLast

  Similar Topics

  1. Autodesk AutoCAD Electrical
   By yutong in forum Tech, Gadgets & Science Forum
   Replies: 4
   Last Post: 13th July 2011, 16:42
  2. AutoCAD 2009
   By Lizy in forum Tech, Gadgets & Science Forum
   Replies: 4
   Last Post: 15th May 2008, 23:29

  Posting Permissions

  • You may not post new threads
  • You may not post replies
  • You may not post attachments
  • You may not edit your posts
  •  

  Who are WE?

  JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

  You are always welcome! Read more...

  Where are we?

  We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

  For anything related to this site please Contact us.

  Contact us now...

  DISCLAIMER

  JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

  Read more...

  Forum Rules

  JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

  You MUST read them and comply accordingly. Read more...

  Privacy Policy

  We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

  Read our Privacy Policy. Proceed here...