JamiiSMS
  Show/Hide This

  Topic: Airtel: Kifurushi cha intaneti cha TSHS 2,500/-

  Report Post
  Page 6 of 15 FirstFirst ... 45678 ... LastLast
  Results 101 to 120 of 297
  1. chubulunge's Avatar
   Senior Member Array
   Join Date : 30th December 2011
   Location : mwabepande
   Posts : 132
   Rep Power : 524
   Likes Received
   9
   Likes Given
   23

   Default Airtel: Kifurushi cha intaneti cha TSHS 2,500/-

   Kwa taarifa nilizozipata hivi punde airtel wamerudisha kifurushi(bundle)cha 400m kwa 2500tsh na vifurushi(bundles) vingine vya zamani naomba kuwakilisha

  2. gfsonwin's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 12th April 2012
   Posts : 15,673
   Rep Power : 263553910
   Likes Received
   15238
   Likes Given
   19999

   Default Re: Airtel waondoa tena kifurushi cha mb.4oo(shs.2,500)

   Quote By kingfish View Post
   nashukuru kwa maelekezo yako,nimeshapata mb 400 usiku huu
   ulitaka kuniua manake hii ndo inayookoa jahazi na huu ukata sasa wakiondoa si itakuwa kasheshe? hata hapa jamvii hatutaonekana tena

  3. ndetichia's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 18th March 2011
   Location : Mwime - Buswangili
   Posts : 27,351
   Rep Power : 98146788
   Likes Received
   4343
   Likes Given
   383

   Default

   Quote By gfsonwin View Post
   ulitaka kuniua manake hii ndo inayookoa jahazi na huu ukata sasa wakiondoa si itakuwa kasheshe? hata hapa jamvii hatutaonekana tena
   nadhani wameipeleka kwenye modem zao mpya za 30K siunajua promotion tena..

  4. Laptani's Avatar
   Member Array
   Join Date : 30th September 2009
   Location : Arusha
   Posts : 98
   Rep Power : 634
   Likes Received
   19
   Likes Given
   7

   Default Re: Airtel waondoa tena kifurushi cha mb.4oo(shs.2,500)

   Yaani hawa AIRTEL wanataka kuua mtandao wa internet kwa kuondoa hiki kifurushi nilichokibatiza MKOMBOZI

  5. Jasnira's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 20th July 2011
   Posts : 268
   Rep Power : 574
   Likes Received
   57
   Likes Given
   5

   Default Re: Airtel waondoa tena kifurushi cha mb.4oo(shs.2,500)

   Nifundisheni jinsi ya kujiunga na hyo mb 400...yan unaandika nini kwenye msg...plz specify kidogo.

  6. Jasnira's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 20th July 2011
   Posts : 268
   Rep Power : 574
   Likes Received
   57
   Likes Given
   5

   Default

   Kinadumu kwa siku ngapi?!!


  7. Gang Chomba's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 29th February 2008
   Location : hell
   Posts : 7,628
   Rep Power : 2366
   Likes Received
   1777
   Likes Given
   0

   Default

   Quote By Jasnira View Post
   Nifundisheni jinsi ya kujiunga na hyo mb 400...yan unaandika nini kwenye msg...plz specify kidogo.
   Mwaego Kwenye Phillips SAVY haikubali...we are sorry

  8. frozen's Avatar
   Senior Member Array
   Join Date : 12th August 2010
   Posts : 135
   Rep Power : 597
   Likes Received
   25
   Likes Given
   2

   Default Re: Airtel waondoa tena kifurushi cha mb.4oo(shs.2,500)

   Pia kwa sasa kifurushi hiki kinaisha kwa haraka sana tofauti na pale mwanzoni!

  9. Jahbingi's Avatar
   Junior Member Array
   Join Date : 5th April 2012
   Posts : 3
   Rep Power : 0
   Likes Received
   0
   Likes Given
   0

   Default Re: Airtel waondoa tena kifurushi cha mb.4oo(shs.2,500)

   yes pia kile cha datawiki...hakipoooo....mie modem yangu ina 15,500...lakini anikataa....nakunielekeza nipige namba *154*44 afu nifuate maelekezo...nifanyeje?

  10. MAMA POROJO's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 22nd November 2007
   Posts : 4,976
   Rep Power : 1992
   Likes Received
   712
   Likes Given
   434

   Default Re: Airtel waondoa tena kifurushi cha mb.4oo(shs.2,500)

   Kifurushi cha SIKU walikuwa wakiuza 20MB kwa shilingi 500 sasa wameogeza, wanauza 50MB kwa shilingi 500

  11. mgt software's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 1st November 2010
   Posts : 7,106
   Rep Power : 88224749
   Likes Received
   1645
   Likes Given
   662

   Default Re: Airtel waondoa tena kifurushi cha mb.4oo(shs.2,500)

   wamenilamba juzi niliacha mb 280 wakalamba zote, nikawapigia simu haipatikani, wanatusaidia sawa lakini waacheuonevu, najua bila wao jf tutapungua
   CCM ni majungu na fitina, ushirikiano ni kama vidole tu, vinashirikiana wakati wa kuvunja chawa tu!!!

  12. mpinga shetani's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 22nd November 2010
   Location : Tanzania
   Posts : 3,120
   Rep Power : 1179
   Likes Received
   868
   Likes Given
   110

   Default

   Quote By Gang Chomba View Post
   Mwaego Kwenye Phillips SAVY haikubali...we are sorry
   Ha, ha, ha, ha! philips savy?

  13. mpinga shetani's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 22nd November 2010
   Location : Tanzania
   Posts : 3,120
   Rep Power : 1179
   Likes Received
   868
   Likes Given
   110

   Default

   Quote By atubariki View Post
   Wizi mtupu mambo voda kimyakimya tulisha tangulia
   Hivi una activate vipi Internet ya Voda kwenye simu?
   Nina line yao nataka kujiunga nao kwenye net maana airtel mh!

  14. kingfish's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 15th April 2011
   Posts : 568
   Rep Power : 648
   Likes Received
   154
   Likes Given
   174

   Default Re: Airtel waondoa tena kifurushi cha mb.4oo(shs.2,500)

   Quote By jasnira View Post
   nifundisheni jinsi ya kujiunga na hyo mb 400...yan unaandika nini kwenye msg...plz specify kidogo.
   katika eneo la meseji ktk simu yako andika "internet" kisha tuma kwenda namba 15444.

  15. kingfish's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 15th April 2011
   Posts : 568
   Rep Power : 648
   Likes Received
   154
   Likes Given
   174

   Default Re: Airtel waondoa tena kifurushi cha mb.4oo(shs.2,500)

   Quote By Jahbingi View Post
   yes pia kile cha datawiki...hakipoooo....mie modem yangu ina 15,500...lakini anikataa....nakunielekeza nipige namba *154*44 afu nifuate maelekezo...nifanyeje?
   katika eneo la meseji ktk simu yako andika "internet" kisha tuma kwenda namba 15444.

  16. kingfish's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 15th April 2011
   Posts : 568
   Rep Power : 648
   Likes Received
   154
   Likes Given
   174

   Default Re: Airtel waondoa tena kifurushi cha mb.4oo(shs.2,500)

   Quote By Jasnira View Post
   Nifundisheni jinsi ya kujiunga na hyo mb 400...yan unaandika nini kwenye msg...plz specify kidogo.
   katika eneo la meseji ktk simu yako andika "internet" kisha tuma kwenda namba 15444

  17. Jotojiwe's Avatar
   Senior Member Array
   Join Date : 24th March 2012
   Location : Tanzania
   Posts : 224
   Rep Power : 530
   Likes Received
   46
   Likes Given
   19

   Default Bandle ya airtel 2500 mb400 imetokomea

   Ilikuwa tarehe 9 mwez wa 4 nilitaarifiwa na airtel kuwa sasa kila mb1 italipiwa sh 150 na huku salio langu likipigwa panga mb 300. Maisha sio mchezo!

  18. KakaKiiza's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 16th February 2010
   Location : Here Where you see me!!
   Posts : 8,474
   Rep Power : 2822243
   Likes Received
   3905
   Likes Given
   2230

   Default Re: Bandle ya airtel 2500 mb400 imetokomea

   Hapana mbona mimi hapa natwanga na leo nimeweka nikapata 400??check with your mdm
   Neuton I. likes this.
   Maisha ya Mtanzania magumu kuliko aliyepo jela.

  19. Jotojiwe's Avatar
   Senior Member Array
   Join Date : 24th March 2012
   Location : Tanzania
   Posts : 224
   Rep Power : 530
   Likes Received
   46
   Likes Given
   19

   Default Re: Bandle ya airtel 2500 mb400 imetokomea

   Mimi natumia simu, tena mda huu tu nimeongea na huduma kwa wateja, nashindwa kuwaelewa kwanini mimi tu.
   Neuton I. likes this.

  20. myhem's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 1st November 2010
   Posts : 920
   Rep Power : 711
   Likes Received
   337
   Likes Given
   79

   Default Re: Bandle ya airtel 2500 mb400 imetokomea

   airtel wakisitisha hii huduma hakika wengi tutalia
   Matola and Neuton I. like this.

  21. SIMBA WA TARANGA's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 14th February 2012
   Location : Kapugi-Tukuyu
   Posts : 992
   Rep Power : 689
   Likes Received
   216
   Likes Given
   153

   Default Re: Bandle ya airtel 2500 mb400 imetokomea

   nimeipata leo, iko bomba, may be something wrong with ur pc or mdm
   Neuton I. likes this.


  Page 6 of 15 FirstFirst ... 45678 ... LastLast

  Posting Permissions

  • You may not post new threads
  • You may not post replies
  • You may not post attachments
  • You may not edit your posts
  •  

  Who are WE?

  JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

  You are always welcome! Read more...

  Where are we?

  We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

  For anything related to this site please Contact us.

  Contact us now...

  DISCLAIMER

  JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

  Read more...

  Forum Rules

  JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

  You MUST read them and comply accordingly. Read more...

  Privacy Policy

  We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

  Read our Privacy Policy. Proceed here...