kwa wale abmao WhatsApp zenu zimezingua iwe blackberry,android,S60 tembelea hapa Tz downloads nime download ya nokiaS60 imekubali kufanya kazi bila kuletewa ile message ya This version is old
kwa wale abmao WhatsApp zenu zimezingua iwe blackberry,android,S60 tembelea hapa Tz downloads nime download ya nokiaS60 imekubali kufanya kazi bila kuletewa ile message ya This version is old
Gamba zaidi ya Mwingulu
Jamaa watakuwa wameweka version mpya..kwa kawaida whatsapp wakiupdate version huwa wanawatumia watumiaji wake kuwa version walizonazo ni old so hawataweza kuzitumia vizuri so waupdate..mimi ni mtumiaji wa whatsapp na nimekuwa nikipata hiyo message kila wanapoupdate version zao ili namimi niweze kuupdate. Kama hiyo ya hapo juu imekubali but inamaanisha jamaa wanalatest version ya whatsapp.
Keep on dreaming even when you ain't sleeping...
Wana JF naombeni msaada nikitaka kudownload hii whatsApp messenger au program nyingine kwenye hiyo website ya TZ downloads napata message hhi hapa chini. Nifanyeje niweze kudownload?
ERROR
The requested URL could not be retrieved
The following error was encountered while trying to retrieve the URL: DataFileHost
Access Denied.Access control configuration prevents your request from being allowed at this time. Please contact your service provider if you feel this is incorrect.
Your cache administrator is webmaster.
Generated Fri, 02 Mar 2012 01:06:47 GMT by gw2 (squid/2.7.STABLE7)
Gamba zaidi ya Mwingulu
ivi hakunaga Jar version ya whatsapp? c wengine ni non-symbian,non-android,non-iphone n none-blakaberi
NAOMBA KUULIZA Iyo program kwenye IDEOS U8150 inaingia au Haifai
Follow Us Here