Nokia wametangaza simu inayoweza kuwapa identityna kurudi juu wenye market share ya mobile. Ifahamile hivi sasa kila kitu ni mobile. Mfano Kama una tovuti haiwezi kusomeka kwenye vifaa vya mobile ujue tovuti yako haiendi na wakati. Kwa wapenzi wa mobile photogprahy. yaani wale wanapenda kupiga piga picha wakiwa kwenye matambezi bila kuwa na usumbufu wa kubeba digtal camera basi hii simu itakuwa chaguo lao.
41 Megapixel Is it true ????
Hapa Nokia wanaweza kuwa wanatumia ujanja wa marketing. Kiuhalisa si kweli kuwa simu hii ina 41 MP ila kwa mujibu wa uchambuzi wa kitalam wa techncrunh hata ukipiga picha katika High resolution itatoa picha isiyozidi 38 MP. Lens ya simu hii inachukua 41 Magapixel ya data na inazitumia kutengeneza picha ya kiwango chajuu lakini katika size ndogo(size ya picha za simu). Yaani kifupi camera ya simuu hii hii inaweza kutumia 41MP ya “Raw” data kutoa picha ya kiwango cha juu kabisa ya 8 MP. Na picha ya 8MP kwenye kamera hii itakuwa bora zaidi ya Picha kamera ya kawiada ya 8 MP
Kwa nini wanakuja nacamera ya 41 MP
Wengine ne wanaweza kuhisi sasa Nokia wanatakiwa wanzishe kitengo tofauti cha Kamera. .. Kamera hii kwenye simu ni matokeo ya research and development (R&D) ambayo Nokia wamekuwa wakifanyia kazi kwa miaka mitano. kwani quality ya picha za mkononi mara zote imekuwa kuwa si nzuri . Sensor ndogo na lenz inamanisha technology inayotumika kwenye kamera za simu inasababisha picha zinazotolewa katika size fulani kutokuwa bora na za kiwango. Je ni kwa nini ?
kwa mujibu wa ufafanuzi wa kitaalamu tatizo na sababu ya kiwango duni cha Kamera hizi ni lenz zake zinataka kuchukua kila detail ya pixel ya kitu kinachopigwa wakati sensor ni ndogo sana. Sasa hii Nokia pure view inajaribu kuondoa tatizo hilo…
Sensor ya 808 Pureview ikoje?
Sensor imetengenezwa na Toshiba na kwa kiwango cha mobile sio ndogo . saizi yke ni 1/1.2″ (inch). Ukadiriaji unasema sensor hii ni mara tano kubwa zaidi ya sensor kwenye simu za kamera nyingine nyingi tulizonazo. Inazidi hata sensor ya kwenye iphone 4s. Na kwa design hii shape au na hata size ya hii simu ni kubwa kidogo.
Tutazame kidogo simu yenyewe Ikoje?
kwa wale ambao kwao wembamba wa simu ni muhimu kuliko facility basi hii sio chaguo lao. Vile vile simu hii kwa sasa inatumia OS ya symbian na sio WP7 (Windows Phone 7 ) . Kama nilivyofafanua awali Nokia wamekuwa kwenye R&D hii kwa miaka mitano kabla hata ya ushirikiano na Microsoft. Kwa hiyo majaribio na uchunguzi wote ulifanyika kwa OS ya symbian. Lakini ni wazi “feature” hii ya camera ya 41 MP siku za mbeleni itapatikana kwenye Nokia znazotumia WP7.
Kwa wapenzi wa Nokia ushauri wangu kama wameipenda hii simu wasubiri model ya Nokia itayokuwa ina WP7. But who am I??? lol Uamuzi ni wako…
Na mchambuzi wa simu Devin Coldewey anabashiri WP7 na Nokia wakicheza karaza zao vizuri kuhusu hii camare watauwa defacto standard katika Mobile photograppy. Lakini anasema ni (big if )
Nawasilisha


Reply With Quote


Follow Us Here