naomba nifahamishwe inakuaje momory card inaukubwa wa 1GB bt nimetupia nyimbo kumi tu inanambia memory ful,tatizo nini na ninatatuaje
naomba nifahamishwe inakuaje momory card inaukubwa wa 1GB bt nimetupia nyimbo kumi tu inanambia memory ful,tatizo nini na ninatatuaje
Hiyo ni Fake....solution ni kutafuta original!!
Never Judge any one because you never know how their life is and what they are going through
kaka hiyo memory card ulivyoweka kwenye simu inakuandikia kuwa ina 1gb au siyo?..basi kama ukiweka nyimbo moja alafu inazingua then jaribu kuiformat kwanza...
Keep on dreaming even when you ain't sleeping...
Follow Us Here