Re: Tigo Tangazo lao lionolewe pia Internet, sipati facebook wala yahoo hata kwenye PC

By
Ukwaju
WADAU NIELEWESHENI HAWA TIGO WAMEKUWAJE MBONA WAMEBANIA KUPITA KIASI HADI KUTAKA SIFA?
yaani ukiweka 700/= hela ya kutwa hupati mtandao wowote labda Jamii Forum tu au simu yangu ndo uwezo wake nimehamisha line katika modem (siitaji) bado hamna kitu sio facebook wala yahoo
pia tangazo lao chini ya page linatunyima vitu vingi liondolewe au liwekwe juu
Tangazo laingizia Fedha JF!! so removing, i dont think so!!
Kuhusu net yao, yeah, ina matatizzo, i dont why, but soon nahisi watawweka mambo sawa!!! For the time being kama vipi hamia voda au Airtelll, mpaka wao wakae sawaa
A runner must run with dreams in his heart, not money in his pocket
Follow Us Here