Nataka kuformat computer inaleta meseji "A problem has been detected and windows has been shut down to prevent damage to your computer.
If this is the first time you've seen this stop error screen,restart your computer........
MSAADA JAMANI.
Nataka kuformat computer inaleta meseji "A problem has been detected and windows has been shut down to prevent damage to your computer.
If this is the first time you've seen this stop error screen,restart your computer........
MSAADA JAMANI.
Je, Screen ni ya blue??
Hata babu alikuwa kaka.
Ishanitokea hii,nahisi ni hardware conflict.
Washa huku ukibonya bonya F8. Utapata menu ya kuchagua Safe Mode. Ingilia hapo halafu nenda karekebishe. Au chagua Safe Mode with Command Prompt, then run CHKDSK.
hapo una check disk, ukimaliza restart. Kwa msaada zaidi nenda google andika hiyo problem kama ulivyoquote hapo, ongezea Go to mwishoni, search.
Baada ya ku run CHKDSK imeleta.......
C:\windows\system32>_
ok. Rudi kwenye c: tumia CD.. Enter
inawezekana ni antvirus au security feature inahisi ni Virus anyetaka kuformat so inazuia. . Unataka kuformat kwa njia gani DOS au GUI?
AU Fany hivi kama umesha back up data zako zote format mashine wa kutumia Windows DVD. Zima mashine. Ingiza DVD, restart mashine . Fanya installtion upya ka ku create partition upaya na sio repair.
Tatizo la mashie uwa nzito inawezekana umeweka antivirus mbili kwenye backround zinaiweka mahine busy sana kwani kila moja inaone mwenzake ni tatizo. Lakini kwa kuwa umeamua format endelea na format
Tazama michezo live katika gym nayotumia kukuzia misuli ya IT- http://teknohama.x10.mx/live-sports/
Kama wewe ni mjuzi wa mambo ya computer fanya haya kama hujui basai jitayarishe kutoa pesa.
Hapo juu kuna mtu amekushauri u google kama ulivyouliza hapa as lazima utakutana na forums zinaongelea hili ingia usome unaweza solve tatizo lako ukielewa wanasema wamefanya nini etc
Pole
Follow Us Here