Nitawezaje ku-unlock zantel modem ya Model: HUWAEI EC122?
Nitawezaje ku-unlock zantel modem ya Model: HUWAEI EC122?
hiyo modem naomba kuwa na mashaka juu ya upatikanaji wake kama niwa uhakika basi mahal ulipo kma kuna ofis za zantel bas fika na risiti afu wata swap na kuflash a whole systems
ni bure kabisaaa!
Nadhani ingekuwa vyema umshauri njia gani anaweza itumia kuchakachua yeye mwenyewe sio mpka aipeleke modem zantel
I think ni zile modem ambazo hazitumii laini kutoka Zantel. EC122 ni CDMA. Wajinga hawabahatishi, huwezi ku unlock kabisa. Endelea kuitumia hiyo hiyo coz ndo mtandao wenye internet yenye kasi kuliko yote.(part of etisalat) km gharama ni kubwa ifanye card reader but ku unlock usiangaike ht kutafuta ushauri.
Follow Us Here