Wadau mambo zenu,
naomba kwa anayefahamu anielekeze jinsi ya ku unlock i phone 3.
asanteni kwa ushirikiano wenu
Wadau mambo zenu,
naomba kwa anayefahamu anielekeze jinsi ya ku unlock i phone 3.
asanteni kwa ushirikiano wenu
nipo nawasubiri..asanteni sana
una sh ngapi ..ni pm nikufanyie hiyo kazi
______________________________ _
Niko tayari kufa huku nimesimama kuliko kuishi huku nimepiga magoti....
ni iphone 3 au iphone 3g au niyakichina manake apple hawajatoa toleo la iphone 3
ni iphone 3G niliamini mtaelewa tu
sorry for confusion
Using the remote unlocking method you can unlock your apple iphone mobile because its safe for your mobile..........
Get the unlock process for your apple iphone mobile from this site Super Unlock Codes , here it gives the easy methods to get the mobile unlocked......
nisomee 'modem firmware' kutoka kwenye Settings-General-About ili nikupe tip,,pili, hiyo 3G ipo jailbroken?
'That's one small step for [a] man, one giant leap for mankind' - Neil Alden Armstrong.
You can get the Unlock code from service provider and Unlock it..
Follow Us Here