Mi nadhani wanaweza kuwa wametumia template moja kwenye website zao au ni watu wanofanya biashara pamoja.....habari ya kucopy na kupaste ni ishu nyingine hiyo maana hizi website zinafana sana isipokuwa top banner,jina la company, email na about us page.
Angalia Whois.Net na htttp://www.whois.net/whois_new.cgi?d=shugulika&tld= com
shy "JE SHUGULIKA AMBAO WAKO TANZANIA NDIO WAMEIBA KAZI YA GLOBALTARGET?"
Yawezekana pia ikawa the other way around.
Asante.
"The measure of a man is what he does with power" From Greek Proverb
Follow Us Here