jamani naombeni msaada kila nikijaribu kutafuta majukwaa kwny jforums siyapati nifanyeje?
jamani naombeni msaada kila nikijaribu kutafuta majukwaa kwny jforums siyapati nifanyeje?
Mkuu simu yako inatumia system gani? if ni Android nenda Android market then search jamiiforums for android.
Mi ndo natumia, ipo gud...!
Mbwa ukimjua jina wala hakupi shida....
Umeshaijulia!
MBONA unafanana na huyu hapa au ni mdogo wako ?View Profile: the kapex - JamiiForums | The Home of Great Thinkers
hakuna dhambi kubwa kama uoga, wenzetu walio juu wameungana kutumaliza tulio chini, tulio chini hatuungani kuwamaliza walio juu.
huyo sio mdogo wangu bali ni mimi mwenyewe ila jina tu
Follow Us Here