Support JamiiForums and Become a 'JF Premium Member' | Click HERE for Details
    Show/Hide This

    Topic: Athari za virusi vya kompyuta kwenye huduma za internet kwa kupitia mitandao ya simu

    Report Post
    Results 1 to 3 of 3
    1. #1
      Freelancer's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 22nd September 2008
      Posts : 117
      Rep Power : 596
      Likes Received
      17
      Likes Given
      10

      Default Athari za virusi vya kompyuta kwenye huduma za internet kwa kupitia mitandao ya simu

      Mi ni mtumiaji wa huduma ya interneti kwa kutumia mitandao kama celtel na voda. nime observe madhara ya virusi vinavyopatikana kwenye windows jinsi gani vinaweza vikakuathiri katika kukumalizia pesa yako unapoconnect simu yako na kompyuta. Celtel na voda naona huwa wanakata hela acording the bytes ulizotuma na kupokea. sasa mara nyingi ukiconnect tu kwenye mtandao unaanza kuona bytes zinaliwa wakati hujaanza kufanya activity yoyote. Nimekuja kuhisi kwamba kuna kuwa na operation ambazo zinaendelea underground bila ya user kuelewa.zinaestablish internet connections bila ya wewe kufahamu kwa hiyo unakatwa tu hela unapokuwa umeconnect na service proivider. hichi kitu nahisi kinasababishwa na virusi. yesterday nikatumia kompyuta ambayo ipo clean kwa maana haina virusi. sikuona bytes zikiliwa pale ambapo nilikuwa situmii mtandao. Sasa hivi windows inakuwa attacked na virus vibaya mno. sasa sijui kama kuna software ambazo unaweza uka zikonfigure ili connection establishment yoyote iwe inakuwa authenticated na mtumiaji wa kompyuta? makampuni ya simu nawashauri pia muangalie kwenye ili suala. ababu mtakosa wateja wa internet ambao watakuwa wanacomplain kwamba service zenu ni expensive kumbe pia na virusi vinachangia. Mnaweza mkatoa elimu kwa wateja wenu.

    2. Miaka 50

    3. #2
      LazyDog's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 10th April 2008
      Posts : 2,186
      Rep Power : 21022
      Likes Received
      16
      Likes Given
      33

      Default Re: Athari za virusi vya kompyuta kwenye huduma za internet kwa kupitia mitandao ya s

      Unaweza pia kufanya yafuatayo:
      1. Turn off Automatic Windows Updates kwenye computer yako
      2. Change Anti-virus update settings from Automatic to Manual.

      Kuna kingine nimesahau?



      .
      A person who won't read has no advantage over one who can't read. -Mark Twain

    4. #3
      Freelancer's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 22nd September 2008
      Posts : 117
      Rep Power : 596
      Likes Received
      17
      Likes Given
      10

      Default Re: Athari za virusi vya kompyuta kwenye huduma za internet kwa kupitia mitandao ya s

      Quote By lazydog
      Unaweza pia kufanya yafuatayo:
      1. Turn off Automatic Windows Updates kwenye computer yako
      2. Change Anti-virus update settings from Automatic to Manual.

      Kuna kingine nimesahau?



      .
      hiyo ni sahihi lakini tatizo la virusi pia ni kubwa. ingekuwa kuna software ya kumuwezesha user kuathenticate every TCP/IP connection inayokuwa established au UDP packets then hizo automatic updates zingekuwa handled automatically bila ya turn on/off. Denial of service attacks zimekuwa nyingi nazo pia zinaweza kuchangia bandwidth kuwa consumed. We are assuming that connection zote zinakuwa initiated na client.

    Similar Topics

    1. Virusi za kompyuta
      By MziziMkavu in forum Tech, Gadgets & Science Forum
      Replies: 9
      Last Post: 26th November 2011, 22:30
    2. Udini hadi kwenye mitandao ya simu.... This is very noma
      By Kiranja Mkuu in forum JF Chit-Chat
      Replies: 22
      Last Post: 4th November 2011, 12:05
    3. internet ya simu kwenye kompyuta
      By Ndumbayeye in forum Tech, Gadgets & Science Forum
      Replies: 4
      Last Post: 13th July 2011, 22:21
    4. Internet ya simu kwenye kompyuta
      By Ndumbayeye in forum Tech, Gadgets & Science Forum
      Replies: 12
      Last Post: 5th June 2009, 17:22
    5. Huduma ya Internet kutoka mitandao ya simu
      By Buswelu in forum Tech, Gadgets & Science Forum
      Replies: 16
      Last Post: 23rd September 2008, 00:07

    User Tag List

    Posting Permissions

    • You may not post new threads
    • You may not post replies
    • You may not post attachments
    • You may not edit your posts
    •  

    Who are WE?

    JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

    You are always welcome! Read more...

    Where are we?

    We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

    For anything related to this site please Contact us.

    Contact us now...

    DISCLAIMER

    JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

    Read more...

    Forum Rules

    JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

    You MUST read them and comply accordingly. Read more...

    Privacy Policy

    We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

    Read our Privacy Policy. Proceed here...