Install Google Earth kama hauna. Google Earth
Download file hii ya Google Earth ambayo ina earthquakes zote eneo la TZ kuanzia 1950 hadi mwezi wa kumi mwaka huu.
HDS111025225104_29293.kml
Ifungue, itafunguka kwenye Google earth.
File hizi unaweza kutengeneza Earthquake Search
Pia unaweza kupata latest eathquakes kwa ajili ya Google earth kwa kwenda Latest Earthquakes: Feeds & Data au unaweza kuangalia online pia http://quakes.globalincidentmap.com/


Reply With Quote





Follow Us Here