Je umeshindwa kupata Time Watcher Software kwa ajili ya kufuatilia mapato ya Cafe yako? Je unataka kuhamia kwenye operating system nyingine kama linux lakini kinachokukwamisha ni time watcher manager inayosupport linux? Je unataka kubaki kwenye windows lakini unahitaji software nzuri kwa ajili ya management ya biashara yako ya cafe? Kuna solution kwa ajili ya matatizo yako ambayo ni ENKAsoft PC Time Quota. Ni software ambayo imetengenezwa kumsadia mwenye cafe kufuatilia mapato ya internet cafe yake na hivyo kuzuia wizi utakaofanywa na wafanyakazi wake. Ina run kwenye windows na linux. Trial version ipo bure kwa ajili ya kujaribu. Trial period ni 15 days. Na trial version ina support a maximum of 5 computers. For more infomation contact [email protected] or call 0754022594.

Reply With Quote
Follow Us Here